Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ameshasema anayetaka kupigana nae aende anapofanyia mazoezi, hawezi kupigana na mabondia hovyo hovyo eti anagombania toyota crownKama usemayo ni kweli ni vema Bondia wetu bora akapambana na twaha kiduku au na kidunda.
Simba na yanga kwa ukubwa zake lakini bado hucheza mechi na timu ndogo. Kwa mwakinyo anakataa kucheza pambano moja na hawa ndugu zake kwa ajili ya kuwapa uzoefu?
Anaogopa nini bingwa wetu?
Kuna jambo na siri gani mwakinyo anaificha nyuma ya mapambano na wageni anaowaalika?
Nampongeza kwa kushinda kwake pambano la jana usiku lkn pamoja na pongezi zangu ananiangusha kuogopa kucheza na watu wa nyumbani..
Katika pre season hii alhaly ya misri imecheza mechi nyingi na timu mpaka ya daraja la kwanza. Simba ilifungwa na timu ya daraja la kwanza kutoka kigoma na kutolewa kwenye FA na bado simba na alhaly ni timu kubwa na zakuogopesha.
Twaha hayuko kwenye level za Mwakinyo jombaa! Nini mnashindwa kuelewa? Stori za vijiweni mnapotoshana sana.Mwakinyo sasa hivi anazungukwa na timu kubwa ya matajiri,haya mapambano wanayanunua mapema kukuza brand..
Uwezo wake wa kupigana mdogo,unaweza kulitambua hilo hata kama wewe sio mtaalam wa ngumi
Haitakuja kutokea kukubali kupigana na Twaha...amalizi raundi 3
Kama ina kanuni kwanini mwakinyo hataki kupigana na kiduku?Jamani boxing ina kanuni zake
Boxing ni BURUDANI na sio kuuana
Kama bondia anapigwa ngumu mfululizo bila majibu na amepoteza balance ni wajibu wa refarii kumaliza pambano, na sio kusubiri hadi bondia apate kipigo cha mbwa koko ndio amalize pambano hii sio vita
Maamuzi ya refa ni pamoja na kujaribu kuzuia maximum damage kwa bondia pindi anapokosa balance anaposhambuliwa
Waswahili walisemaga Nabii hakubaliki kwao.
Watu wanahoji ujinga mwingi sio kwasababu wameona kwa hakika refarii kampendelea Mwakinyo.......HAPANA
Wanahoji kwa sababu hawaamini kama Mtz annaweza kuwa bondia bora kwa level aliofikia Mwakinyo
Unapo angalia kitu kwa jicho la husuda, chuki, visasi hakika utaona kile tu unachokitaka........NEGATIVITY
Wengi wana muhukumu Mwakinyo kwa tambo zake lakini ukweli utabakia kuwa Mwakinyo ni BORA kwa alipofikia sasa, na sio kwasababu kabebwa au kaletewa bondia mchovu. .....UWEZO
Kuna watu wanachotaka wao ni Mwakinyo APIGWE TU ili wa mprove wrong kwasababu ya maneno yake ya tambo
Kwa hiyo ngumi na zenyewe ni Dakika 90?Kama usemayo ni kweli ni vema Bondia wetu bora akapambana na twaha kiduku au na kidunda.
Simba na yanga kwa ukubwa zake lakini bado hucheza mechi na timu ndogo. Kwa mwakinyo anakataa kucheza pambano moja na hawa ndugu zake kwa ajili ya kuwapa uzoefu?
Anaogopa nini bingwa wetu?
Kuna jambo na siri gani mwakinyo anaificha nyuma ya mapambano na wageni anaowaalika?
Nampongeza kwa kushinda kwake pambano la jana usiku lkn pamoja na pongezi zangu ananiangusha kuogopa kucheza na watu wa nyumbani..
Katika pre season hii alhaly ya misri imecheza mechi nyingi na timu mpaka ya daraja la kwanza. Simba ilifungwa na timu ya daraja la kwanza kutoka kigoma na kutolewa kwenye FA na bado simba na alhaly ni timu kubwa na zakuogopesha.
Uzito wao ni tofauti na wako kwenye level tofauti kabisa.Kama ina kanuni kwanini mwakinyo hataki kupigana na kiduku?
Kiduku!!! Oooh No No No. Hajui ngumi , Dulla alimkalisha, tusifananishe na mpira nasema kiduku bado sanaUmemaliza mwendo wa huu uzi mkuu
Kama usemayo ni kweli ni vema Bondia wetu bora akapambana na twaha kiduku au na kidunda.
Simba na yanga kwa ukubwa zake lakini bado hucheza mechi na timu ndogo. Kwa mwakinyo anakataa kucheza pambano moja na hawa ndugu zake kwa ajili ya kuwapa uzoefu?
Anaogopa nini bingwa wetu?
Kuna jambo na siri gani mwakinyo anaificha nyuma ya mapambano na wageni anaowaalika?
Nampongeza kwa kushinda kwake pambano la jana usiku lkn pamoja na pongezi zangu ananiangusha kuogopa kucheza na watu wa nyumbani..
Katika pre season hii alhaly ya misri imecheza mechi nyingi na timu mpaka ya daraja la kwanza. Simba ilifungwa na timu ya daraja la kwanza kutoka kigoma na kutolewa kwenye FA na bado simba na alhaly ni timu kubwa na zakuogopesha.
Hili nalo neno. Kama ni kupigana kiduku aende kwenye dojo ya HM au amutukanie mzazi wake.Mbona ameshasema anayetaka kupigana nae aende anapofanyia mazoezi, hawezi kupigana na mabondia hovyo hovyo eti anagombania toyota crown
Ni tofauti kabisa na mchezo huu, ukipigwa na alie chini yako unapotea, lakini pia kila pambano linalopangwa na Management yake kuna vitu wanazingatia sio pesa tu bali faida ya pambano katika kupiga hatua zaidi duniani, sasa hawezi kupigana na underground ili apate sifa na kumaliza ubishi wa wabongo [emoji2][emoji2]Kama usemayo ni kweli ni vema Bondia wetu bora akapambana na twaha kiduku au na kidunda.
Simba na yanga kwa ukubwa zake lakini bado hucheza mechi na timu ndogo. Kwa mwakinyo anakataa kucheza pambano moja na hawa ndugu zake kwa ajili ya kuwapa uzoefu?
Anaogopa nini bingwa wetu?
Kuna jambo na siri gani mwakinyo anaificha nyuma ya mapambano na wageni anaowaalika?
Nampongeza kwa kushinda kwake pambano la jana usiku lkn pamoja na pongezi zangu ananiangusha kuogopa kucheza na watu wa nyumbani..
Katika pre season hii alhaly ya misri imecheza mechi nyingi na timu mpaka ya daraja la kwanza. Simba ilifungwa na timu ya daraja la kwanza kutoka kigoma na kutolewa kwenye FA na bado simba na alhaly ni timu kubwa na zakuogopesha.
Ulitaka mpaka mtu afe pale ndyo refa amalize pambano acheni ushabiki maandazi Indongo kazidiwa anabaki kukumbatia tuNi kweli kwamba kama pambano lile lingemalizika kwenye round ile , bila shaka Mwakinyo angeshinda kwa points , maana alipeleka ngumi nyingi za maana kwa mpinzani wake.
Lakini kilichonishangaza ni kitendo cha mwamuzi kumaliza pambano wakati bado Indongo yuko imara, hii kwa mnaojua ngumi mnadhani sababu ni nini hasa?
Mkuu,hao ni chadema tu ndio wanaoeneza hizi chuki dhidi ya vijana wetu.Watanzania hatupendani ndio shida (wivu) Nyie ndio mlimharibia hata Sammata kule Aston villa
Uliangalia pambano au unaongea tu?!Mwakinyo kabebwa
Mimi najua maana yake ndio maana nimeandika hivyo..Nikuulize wewe unajua maana yake?Unajua maana ya professional player..?
Hawajui ndondi hao! au sijui walitaka Indonga auwawe ndio waamini kapigwa kihalaliMtoa uzi na wanamsapot wote wshamba na asili yao watu wa kanda ya ziwa na moshi au arusha
Mna chuki binafsi kisa ni mtu wa tanga kaaeni mtulie ngumi hamjui fuatilia pambano
Kaangalie la salim mtango kule nje TKO iliamuliwa vip
Watapigana vip wakati wapo kwenye rank tofauti na uzito tofauti
Watakuwa wanapigana kutafuta nini au kushindania nini?
Wapigane eti kwa sababu ya kupata sifa?
Wabongo bwana.......
Hivi nyie mnazijua Sheria za mchezo wa box duniani?