Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Noma sana!Mpaka kesho nitaendelea kushangaa na kujiuliza hili swali aisee. Kumbe ndio maana hataki kupigana na Wabongo wenzake sababu anajijua kimeo.
Kanusuliwa na referee maana alipotea balance ndio maana hajalalamika, professionally referee katimiza wajibu vizuri mno mnoNi kweli kwamba kama pambano lile lingemalizika kwenye round ile , bila shaka Mwakinyo angeshinda kwa points , maana alipeleka ngumi nyingi za maana kwa mpinzani wake .
Lakini kilichonishangaza ni kitendo cha mwamuzi kumaliza pambano wakati bado Indongo yuko imara , hii kwa mnaojua ngumi mnadhani sababu ni nini hasa ?
Unapigwa "punch" 5 bila ya majibu...mwamuzi atalimaliza tu pambano...."boxing" ni mchezo na si Vita ya kuuana.Ni kweli kwamba kama pambano lile lingemalizika kwenye round ile , bila shaka Mwakinyo angeshinda kwa points , maana alipeleka ngumi nyingi za maana kwa mpinzani wake .
Lakini kilichonishangaza ni kitendo cha mwamuzi kumaliza pambano wakati bado Indongo yuko imara , hii kwa mnaojua ngumi mnadhani sababu ni nini hasa ?
🤣🤣🤣Promota yeye, bondia yeye.
pambano limekwisha.
Pale tumeuziwa mbuzi kwenye gunia. Kumbe ndiyo maana ukimwambia habari ya Kidukulilo anaruka mita miaMwakinyo ana ujanja ujanja mwingi sana kulikuwa na ngumi gani ya maana ya kumfanya refa kumaliza pambano kihuni vile.
Watanzania hatupendani ndio shida (wivu) Nyie ndio mlimharibia hata Sammata kule Aston villaNi kweli kwamba kama pambano lile lingemalizika kwenye round ile , bila shaka Mwakinyo angeshinda kwa points , maana alipeleka ngumi nyingi za maana kwa mpinzani wake .
Lakini kilichonishangaza ni kitendo cha mwamuzi kumaliza pambano wakati bado Indongo yuko imara , hii kwa mnaojua ngumi mnadhani sababu ni nini hasa ?
Ni professional player hawezi kuja kupigana na utopolo wa mitaani akina kiduku na takataka zingineMwakinyo asije akapigana na wabongo watakuja kumuua