Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Si kweli wanajeshi wa US wanalipwa salary ya kawaida kabisaaa kulinganisha na field nyingine huko US,tena wako chini kabisa kulinganisha na field nyingine kama Accountants,Lawyers,Salesman,Doctors,IT etc
An entry-level Army private analipwa $20,172 kwa mwaka.
Top Air Force generals analipwa $189,600 kwa mwaka.
dodge
Na wa bongo vp mkuuSi kweli wanajeshi wa US wanalipwa salary ya kawaida kabisaaa kulinganisha na field nyingine huko US,tena wako chini kabisa kulinganisha na field nyingine kama Accountants,Lawyers,Salesman,Doctors,IT etc
An entry-level Army private analipwa $20,172 kwa mwaka.
Top Air Force generals analipwa $189,600 kwa mwaka.
dodge
Na wa Bongo vp mkuuSi kweli wanajeshi wa US wanalipwa salary ya kawaida kabisaaa kulinganisha na field nyingine huko US,tena wako chini kabisa kulinganisha na field nyingine kama Accountants,Lawyers,Salesman,Doctors,IT etc
An entry-level Army private analipwa $20,172 kwa mwaka.
Top Air Force generals analipwa $189,600 kwa mwaka.
dodge
AISE JENERAL WA USA afanane na wa TZ?Kimafunzo tofauti hua ipo ila si kubwa, na mala nyingi hua ni kwenye aina ya vifaa tu
mfano General wa JWTZ hatofautiani sana na General wa USA
Tofauti ipo kwenye maslahi, wao wako juu kuliko hawa wa kwetu
NB: haya ni maoni yangu niko tayari kurekebishwa.
Kwani bongo wanalipwa sh ngp kwa kuanzia???Wanalipwa vizuri.....lkn si kwa kufanana na US
Hilo halina mjadala mishahara sio mikubwa hivyo tena nimelinganisha na UK waingereza wanawaacha mbali sana kwa mishahara
Hata mimi nawazidi mshahara [emoji2957][emoji2957]
Baadhi yao wa USA
View attachment 1352455
Na hawa ni UK ila kwetu sijui wanakula ngapi
View attachment 1352456
Sent from my iPhone using Tapatalk
We fala unasema wanajeshi wa US wanalipwa 40M kwa mwaka?Si kweli wanajeshi wa US wanalipwa salary ya kawaida kabisaaa kulinganisha na field nyingine huko US,tena wako chini kabisa kulinganisha na field nyingine kama Accountants,Lawyers,Salesman,Doctors,IT etc
An entry-level Army private analipwa $20,172 kwa mwaka.
Top Air Force generals analipwa $189,600 kwa mwaka.
dodge
Ndio mkuu.
Aweke chanzo cha habari yakeThnxs kwa kuweka data kabisa mkuu.
Daah UK wamewapiga gap balaa wenzao wa US.
Kwa US mwanajeshi ni wa kawaida saaaana kwny suala la kipato.
dodge
Hebu tuweke hayo marupurupu wanayopewa hao wanajeshi wa US,na sisi tuangalie field nyingine wanalipwaje hayo marupurupu.Wamarekani wanajielewa.. hii kuweka wazi mshahara wala si kigezo kuwa ndio pesa halisi wanayolipwa!
Na wana marupu rupu ...ya uhakika wa maisha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kusemaje we changudoa?
Mwanajeshi wa Us hata asipolipwa mshahara sasa tu maana serikali imemhakikishia maisha hana msongo wa kimaisha kama hawa wetu
Na anayebisha aweke pia data zake hapa.S
Aweke chanzo cha habari yake
9M per Annum.. kwa private...Kwani bongo wanalipwa sh ngp kwa kuanzia???
Na ni field inayoongoza kwa kusumbuliwa na Post-traumatic stress disorder (PTSD).Mwanajeshi wa Us hata asipolipwa mshahara sasa tu maana serikali imemhakikishia maisha hana msongo wa kimaisha kama hawa wetu
Tuanze na rais, then wabunge ndio tuje kwa wanajeshi.
Kwa mfano mlinganishe kibajaji na mbunge wa Marekani
Thnxs kwa kuweka data kabisa mkuu.
Daah UK wamewapiga gap balaa wenzao wa US.
Kwa US mwanajeshi ni wa kawaida saaaana kwny suala la kipato.
dodge