Hapana mkuu, kama kuna la ziada unalolifahamu tiririka tu mkuu, ndio maana ya kuwepo kwa hii mada.Hahahahahahahaha usilolijua mkuu, nikuache hivyo hivyo hii mitandao tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa katiba polisi ni mwanajeshi,magereza pia ukisoma ile ibara inayopiga marufuku 'wanajeshi kujiunga na vyama vya siasa 'Tumia akili japo 1/8 ya hiyo akili. Kama umeshaitumia yote na bado hujanielewa ktk hiyo comment yangu sina msaada mkuu.
Polisi sio mwanajeshi kwa tafsiri yetu.
Hahahhahahahaha mambo ya mitandao yakupeleke ngome ?? Hakika hautosahauHapana mkuu, kama kuna la ziada unalolifahamu tiririka tu mkuu, ndio maana ya kuwepo kwa hii mada.
Ni kweli mkuu mimi sifahamu lolote kuhusiana na hao watu, ndio maana nikamwambia aende Ngome akaulize.
Mimi ni Raia tu mkuu, nilitoa maoni kulingana na ufahamu wangu mdogo sana wa kiraia, mnisamehe sana kama nimewakwaza makamanda.
Hahaha aisee umenifanya nicheke sana😂😂Wala hainigusi,,binafsi nilipenda kuwa askari hasa Jwtz lkn mzee akanikatalia kwamba ntadumaa kiakili na kiuchumi ikabidi nimsikilize
Hongera zake kamanda wa kimarekani.Anatoa misaada kwa kibali kabisa kuna shule imemwagiwa kompyuta 70,vitbu kibao,kajenga matundu 10 ya vyoo
Wakuu mliotembea na kuyajua mambo mbali mbali hasa ya kijeshi nijulisheni,,,maana kuna mjeshi mmoja toka marekani anamwaga misaada hapa wilayani mpaka najiuliza katakatisha fedha huko kwao au nini!
Hivi mishahara ya wajeda marekani ni mikubwa kiasi cha kupata hadi hela ya kutoa misaada? Vipi mwanajeshi wetu tz wana uwezo huo pia?
Pia nimeona anapiga tizi kwenye uwanja was shule hapa aisee jamaa yuko fit ile mbaya sasa najiuliza hawa wajeda wetu wameiva kama huyu,,nanyemelea nipate kuwa mkalimani wake hapa,,,
Hilo halina mjadala mishahara sio mikubwa hivyo tena nimelinganisha na UK waingereza wanawaacha mbali sana kwa mishahara
Hata mimi nawazidi mshahara [emoji2957][emoji2957]
Baadhi yao wa USA
View attachment 1352455
Na hawa ni UK ila kwetu sijui wanakula ngapi
View attachment 1352456
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mmmmm
Tatizo jeshi letu halitumiki kupora Kama la Marekani wanapigana tu Kama wehu hawakwapui
Umefanya vizuri kuleta data, watu wanapagawa na jina USA. Kimsingi USA wanajeshi wanalipwa pesa ndogo sana ukizingatia ukubwa wa uchumi wao na bajeti ya ulinzi kwa mwaka. Kazi nyingi za kawaida kabisa USA zinalipa vizuri kuliko jeshi.
Mchunguzeni asije kuwa shushushu huyo.Wakuu, mliotembea na kuyajua mambo mbalimbali hasa ya kijeshi nijulisheni, maana kuna mjeshi mmoja toka Marekani anamwaga misaada hapa wilayani mpaka najiuliza katakatisha fedha huko kwao au nini.
Hivi mishahara ya wajeda marekani ni mikubwa kiasi cha kupata hadi hela ya kutoa misaada? Vipi mwanajeshi wetu Tanzania wana uwezo huo pia?
Pia nimeona anapiga tizi kwenye uwanja wa shule hapa aisee jamaa yuko fit ile mbaya sasa najiuliza hawa wajeda wetu wameiva kama huyu, nanyemelea nipate kuwa mkalimani wake hapa.