Hivi mwanamuziki Senzo yu hai au alishafariki?

Ndugu zetu, wa bondeni kwa Madiba, tutegulieni hiki tendawili? Yupo hai au alishakufa. Maana toka miaka ya tisini najua ni hayati, na tetesi zili mtaja Dube kuhusika ili kuua ushindani .
 
Mkuu alishakufa msala akapewa lucky dube
..coz alikua wanapiga nae kazi akapata watu wa kumudhamini apige mziki kimpango wake.
 
Alafu msala ulikua mkubwa jamaa akakimbilia England
 
Senzo yuko hai na anawalaani sana sana mnaodai amekufa! Mfuatilie YouTube, Facebook na mwezi July mwaka kuu ana perform live huko south Africa.

Acheni kundekeza minong'ono! Senzo yuko hai hakuuliwa wala hakuua!
Hadi ww mkuu unaamini yupo hai?
 
Kashafariki mkuu hizo ni za kutengenezwa tuu! But the man is No more
 
Senzo yuko hai na anawalaani sana sana mnaodai amekufa! Mfuatilie YouTube, Facebook na mwezi July mwaka kuu ana perform live huko south Africa.

Acheni kundekeza minong'ono! Senzo yuko hai hakuuliwa wala hakuua!
Ngoja niende you tube
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Comments zako huwa commedy tosha yaan hahahhaha
Napata sana amani ya moyo nikiona watu wanafurahi

Ingawa mimi ni miongoni mwa binadamu ambao hawakubahatika kuwa na furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…