Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ameuwawa muda mrefu ni miaka mitano sasa
Hadi ww mkuu unaamini yupo hai?Senzo yuko hai na anawalaani sana sana mnaodai amekufa! Mfuatilie YouTube, Facebook na mwezi July mwaka kuu ana perform live huko south Africa.
Acheni kundekeza minong'ono! Senzo yuko hai hakuuliwa wala hakuua!
Kashafariki mkuu hizo ni za kutengenezwa tuu! But the man is No moreAisee, hata mimi nilijua ameshafariki.. Ila leo ndio nimejua kuwa bado huyu jamaa yupo hai, dah. Ingia fb kuna page inaitwa Senzo Mthetwa kuna taarifa za kukanusha kifo chake pia wameweka namba za simu za sister ake ili kuprove kuwa yu hai, mcheki, 0838008189. Taarifa mbaya husambazwa haraka kuliko nzuri. Ama kweli bora walimaharage kuliko walimwengu.
Wewe[emoji15][emoji15][emoji15]Alishaga fariki kitamboooo.
Ngoja niende you tubeSenzo yuko hai na anawalaani sana sana mnaodai amekufa! Mfuatilie YouTube, Facebook na mwezi July mwaka kuu ana perform live huko south Africa.
Acheni kundekeza minong'ono! Senzo yuko hai hakuuliwa wala hakuua!
Nipo hai
Unasemaje wewe kijana
Mimi au senzo ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Comments zako huwa commedy tosha yaan hahahhaha
Napata sana amani ya moyo nikiona watu wanafurahi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Comments zako huwa commedy tosha yaan hahahhaha
Mimi au senzo ?
Nipo naeahahahahahahjahahahaa...Sijui.kwann hukuandamana na Bashite kushangilia
Napata sana amani ya moyo nikiona watu wanafurahi
Ingawa mimi ni miongoni mwa binadamu ambao hawakubahatika kuwa na furaha
Napata sana amani ya moyo nikiona watu wanafurahi
Ingawa mimi ni miongoni mwa binadamu ambao hawakubahatika kuwa na furaha
[emoji28]Kuna mtu alikua nyuma yetu..alikuaga anachekeshaa...nawazaga labda ndo ww...dah..
Nipo nae
Jamaa mroho sana wa misosi
Nshamtenga