Hivi mwanaume gentleman ndio mwanaume wa namna gani?

Sifahamu sana mkuu.

Hata hivyo, mwanaume akifahamu nini cha kuongea na katika wakati gani kwa watu WOTE wanaomzunguka,

Pia akajali walau kidogo muonekano wake, afya yake, usafi na vitu kama hivyo,

Akawa ni mtu ambaye sio mvivu... angalau ni mtafutaji,

Akaweza pia kuwapa wanawake wote heshima ambayo anampa mama yake mzazi,

Lakini pia akawa treat wanawake kwa namna ambayo angependa dada zake wawe treated na shemeji zake,

Ndugu zangu, mtu kama huyo hayupo mbali na u 'gentleman'

Nasema uongo ndugu zangu?
 
😂😂 Hapo mwisho pamenifanya nikenue
 
[emoji23][emoji23] Hapo mwisho pamenifanya nikenue
Naaam

Lakini pia, gentleman husaidia kuweka tabasamu kwa watoto wazuri.

Nasema uongo Yna?
 
Unasema uongo ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…