THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
#Kazi Iendelee😂😂Age is just a number. If you’re happy and you know it weye JIRUSHE TU!!! 😜
#Imeisha hiyoMuhimu ni kuelewana tu
Duuh! Huyu wangu kanizid 4+ Mimi sa inakuaje?Mwanamke kumzidi mwanaume umri, huko ni kuchunguliwa na mtoto....
Inapendeza mwanaume awe mkubwa tena 5+
Usikubali hata siku moja kuoa mwanamke aliekuzidi umri.
Safi sana, hata mimi mke wangu nimemzidi miaka 10. Mwanamke akikuzidi umri atakuburuza bila mwenyewe kujuame nimemzidi mke wangu 11yrs
Uku nawe ukikaa vibaya utachapiwa na dogodogoSafi sana, hata mimi mke wangu nimemzidi miaka 10. Mwanamke akikuzidi umri atakuburuza bila mwenyewe kujua
Safi sana, hata mimi mke wangu nimemzidi miaka 10. Mwanamke akikuzidi umri atakuburuza bila mwenyewe kujua
Shida iko wapi Mkuu kama napata Vyote?Usikubali hata siku moja kuoa mwanamke aliekuzidi umri.
Ila si tunda anapata Lile lile mkuu?Muulize Rais wa France Emmanuel MacronView attachment 1986647
Inawezekana wewe na mpenzi wako ni sawa tu, ila mimi kama mimi hiyo kwangu hapana naona imekaa ovyoDuuh! Huyu wangu kanizid 4+ Mimi sa inakuaje?
Binadamu tumeumbiwa kuwaheshimu wakubwa, mke akikuzidi umri hatakubali kuwa chini yako, na yeye ndio atakua na last say katika nyumba.Shida iko wapi Mkuu kama napata Vyote?
Mkuu na sio kwamba nimeanza nae leo miaka hio ya Utotoni dadek tulikaa majiraniInawezekana wewe na mpenzi wako ni sawa tu, ila mimi kama mimi hiyo kwangu hapana naona imekaa ovyo