Hivi Mwanaume kuzidiwa Umri na Mpenzi/Mwanamke wake ni miaka Mingapi wastani?

Hivi Mwanaume kuzidiwa Umri na Mpenzi/Mwanamke wake ni miaka Mingapi wastani?

Binadamu tumeumbiwa kiwaheshimu wakubwa, mke akikuzidi umri hatakubali kua chini yako, na yeye ndio atakua na last say katika nyumba.
Huyu sasa since kitambo hajawahi nipandishia sauti au ananizuga tu anasubiri aolewe?😂😂
 
Hahahahahahaha mkipishana kidogo mathalan 5yrs then akianza kuzaa hapa utamkuta mwili hauna ushirikiano kabisa// fikiria yeye atakapokuwa na 40 na me nina 51 kuna shida gani haaaaahaaahaa.Big up sana mkuu
Mwanamke akifikisha 40 hapo nyege ndipo zinamzidi, sasa unapoambia utapigiwa, ujue hilo maana 51 kama utakuwa na afya mbovu mbovu lazima upigiwe. Kumbuka dawa ya kumtuliza mwanamke ni kumpelekea moto sawa sawa tofauti na hapo ni shida
 
Mwanamke akifikisha 40 hapo nyege ndipo zimamzidi, sasa unapoambia tutapigiwa, ujue hilo maana 51 kama utakuwa na afya mvivu mvivu lazima upigiwe. Kumbuka dawa ya kumtuliza mwanamke ni kumpelekea moto sawa sawa tofauti na hapo ni shida
Hii imekaa kitaalamu sana na according kwa Experience naona😂😂
 
Na unakuta kijana anakwambia hajawahi kuwa na furaha maishani kama anayopewa na mama yake
Kwahio huyu Nimuache Anarika la Mama yangu?😂😂 coz tofauti ni miaka 4+

Halaf nae ni mtoto wa Mtu anahitaji kupendwa na kizuri zaidi nimeanza kumunyandua kipind hichooo bado nikiwa chalii kabisa
 
Kwahio huyu Nimuache Anarika la Mama yangu?😂😂 coz tofauti ni miaka 4+

Halaf nae ni mtoto wa Mtu anahitaji kupendwa na kizuri zaidi nimeanza kumunyandua kipind hichooo bado nikiwa chalii kabisa
Mmh hatupangiani maisha bwana lakini what if mama yako apate heart attack siku ya kumuona mke wa mwanae!
 
Back
Top Bottom