JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Umuhimu wa umri upime kwa kuangalia uwezo wa mtu kutatua mambo na kiwango cha busara na sio miaka mtu aliyoishi duniani.Ila bana haya mambo ya umri hapana..aah Mimi hapana Yani mwanaume nikupite umri..aahh
Kila la kheri mkuu
Mama ni mama tu, huwezi linganisha mwanamke yeyote duniani na mama yako kisa ni agemate, mama ana nafasi yake kama mzazi uliyekaa tumboni mwake for 9 mnths, akakunyonyesha, akakulea mpaka unakua, ukiachilia mbali yote hayo wewe kama mtoto ni damu yake, I mean kwenye damu yako kuna damu yake, how comes uje umfananishe huyo mwanamke na mwanamke mwingine..?Na unakuta kijana anakwambia hajawahi kuwa na furaha maishani kama anayopewa na mama yake
Wakati mwingine kuuliza ni njia ya kupima unachoenda kukutana nacho mbeleni ili kujiandaa, haimaanishi kuwa haupo tayari na maamuzi ila unataka kujua unachoenda kukumbana nacho kwa maamuzi uliyoamua.Angeoa bila kuuliza, hadi kaja kuuliza bado haijampendeza yupo 50/50
Tatizo mnafikiria urafiki ni sawa na ndoa. Ndoa ni kitu tofauti maana kuna mabonde na milima.Jiulize kwanza aya
👉Unampenda kweli na yeye anakupenda kweli?
👉Moyo wako umeridhika kuwa nae?
👉Unafuraha kuwa nae? Ana furahia kuwa na wewe?
👉Anatimiza majukumu yake ipasavyo(ya kama mke na kama mama wa familia)?
👉Ana kuheshimu na ww una mheshim?
Kama majibu ni ndio bas Umri sio kigezo cha kuwatenganisha.View attachment 1986695
Tukimwambia matokeo hasi? Kama nlivoandika mimi? Ataacha? Bado hajapendezwa 😁Wakati mwingine kuuliza ni njia ya kupima unachoenda kukutana nacho mbeleni ili kujiandaa, haimaanishi kuwa haupo tayari na maamuzi ila unataka kujua unachoenda kukumbana nacho kwa maamuzi uliyoamua.
Ndoa yangu tarajiwa anakufa kabisa hivhivi...naona mpaka saiv watu wakupinga kumuoa alienizidi munaupiga Mwingi!😂😂Hamna shida ila jua wanawake twawahi kuzeeka na kuchakaa Sasa akikuzidi mtihani na menopause hyo hamu ukata utafanyaje hapo, ndio maana mwanaume akimzidi mwanamke miaka like 10 years wanakuja kuzeeka pamoja bila gap kuonekana
Unatumia Kinywaji gani Mkuu?AGE IS JUST A NUMBER ..
ova
Maji ya maiti na mikojo ya mbweha ...Unatumia Kinywaji gani Mkuu?
🤣🤣🤣🤣Na Kadi utapata ili ufike hapa A Town #Point Zone 😂
Hapo mlima wa kwanza ni umriTatizo mnafikiria urafiki ni sawa na ndoa. Ndoa ni kitu tofauti maana kuna mabonde na milima.
Haachi huyo labda aachwe.Tukimwambia matokeo hasi? Kama nlivoandika mimi? Ataacha? Bado hajapendezwa 😁
Mkwe hawezi kuitema BIg G bado ina utamu.Haachi huyo labda aachwe.
Vijana wamekuwa waoga wa maisha. Wanataka hisani hadi kwenye mahusiano.Usikubali hata siku moja kuoa mwanamke aliekuzidi umri.
Hata ukimpa karanga🤣Mkwe hawezi kuitema BIg G bado ina utamu.
Nakushukuru karibu kwenye Ndoa soon🙏🙏😂😂Malengo yako ni nini katika ndoa/mahusiano?
Kwa mfano, unataka huyo mwanamke akuzalie watoto?
Je, umri wa huyo mwanamke unaruhusu kuzaa? #menopause
Vipi jamii yako au ndugu zako unahisi watapokeaje?
Kumbuka ukioa unaunganisha undugu. Binafsi itaniwia vigumu sana kukubaliana na kijana wangu (I really hope sio wewe mleta mada......joke!) akiniletea mchumba mwenye umri kunizidi mimi baba yake au mama yake. Hainiingii akilini kuanza kumpa shakamoo "mkamwana" wangu! Kwangu mimi mwanamke akikuzidi miaka 1 mpaka 3 hivi sio mbaya sana....nahisi ni himilivu socially.
Lakini kubwa kuliko yote ni wewe kufurahia uhusiano wako. Haina maana sana kwako kuoa mwanamke uliyemzidi umri lakini humfurahii.