Hivi Mwanaume kuzidiwa Umri na Mpenzi/Mwanamke wake ni miaka Mingapi wastani?

Great Knowledge..halaf huyu ana akili hizo anajua maisha
 
Kikubwa maisha yaenda na maelewano
 
Vyovyote
 
Cha msingi umzidi akili tu, umri siyo issue, lakini gape iwe ni miaka miwili au mitatu, ikifika mitano huyo ni dada yako ni wakupeana uroda tu lakini siyo ndoa.
 
Huo ndo ukwelii eeeee
Hakuna ukweli wowote, sifa kuu ya mwanaume ni kuweza kumcontrol mwanamke bila kujali umri.

Issue ni kwamba mwanamke awe under ur control, tumeshuhudia watu wazima wakiburuzwa na visichana vidogo na matusi juu.

Niwatolee tu mfano kwa watu maarufu, Meddy Mpakanjia alikuwa legendary akakiowa kisichana Amina Chifupa lakini Meddy mwishowe alishindwa, na mind you Meddy Mpakanjia alikuwa na pesa kitu ambacho ndio silaha muhimu kwenye mahusiano lakini alifeli.
 
🤔
 
Kwahio huyu Nimuache Anarika la Mama yangu?[emoji23][emoji23] coz tofauti ni miaka 4+

Halaf nae ni mtoto wa Mtu anahitaji kupendwa na kizuri zaidi nimeanza kumunyandua kipind hichooo bado nikiwa chalii kabisa

Alikuwa bikra? Washirikishe [mention]Jokajeusi [/mention] na [mention]Liverpool VPN [/mention] kwenye hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…