Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Ukiwa na hela huwezi pondwa utaambiwa mnaendana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
#Diamond mbona hamkuponda jamani kwa Zari?
nataka niulize kwa nini unamuita mama instead ya dada angalau, hivi 4+ years anaweza kukuzaa kweli? muwaache wadada za watu wale maishaKwahio huyu Nimuache Anarika la Mama yangu?😂😂 coz tofauti ni miaka 4+
Halaf nae ni mtoto wa Mtu anahitaji kupendwa na kizuri zaidi nimeanza kumunyandua kipind hichooo bado nikiwa chalii kabisa
Weeeee....Muhimu ni kuelewana tu
Inapita?Duuh! Huyu wangu kanizid 4+ Mimi sa inakuaje?
Hahahhahahahhahahahhaahaha nimesoma kwa sauti ya mama Imma!!Weeeee....
Kule kwetu Tukuyu wamama wa Kinyakyusa wataanza kunong'ona utasikia " Eghile unkangale" alafu wanacheka kwa sauti ya kupaza wakisema "mbombo jhilipo "
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo rafiki?Ila bana haya mambo ya umri hapana.. aah Mimi hapana Yani mwanaume nikupite umri..aahh
Kila la kheri mkuu
Poa..za weweMambo rafiki?