Hivi Mwanaume kuzidiwa Umri na Mpenzi/Mwanamke wake ni miaka Mingapi wastani?

Hivi Mwanaume kuzidiwa Umri na Mpenzi/Mwanamke wake ni miaka Mingapi wastani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
#Diamond mbona hamkuponda jamani kwa Zari?
Ukiwa na hela huwezi pondwa utaambiwa mnaendana

Ukiwa kajamba nani utaambiwa acha kuoa wazee .

Pesa pesa kuna utulivu ,heshima, na kujaliana

Pesa umasikini kuna fitna ,majungu,uchawi ,visirani,unoko, unaa,na kedekede[emoji1787]
 
Kwahio huyu Nimuache Anarika la Mama yangu?😂😂 coz tofauti ni miaka 4+

Halaf nae ni mtoto wa Mtu anahitaji kupendwa na kizuri zaidi nimeanza kumunyandua kipind hichooo bado nikiwa chalii kabisa
nataka niulize kwa nini unamuita mama instead ya dada angalau, hivi 4+ years anaweza kukuzaa kweli? muwaache wadada za watu wale maisha
 
Hahahhahah
Weeeee....

Kule kwetu Tukuyu wamama wa Kinyakyusa wataanza kunong'ona utasikia " Eghile unkangale" alafu wanacheka kwa sauti ya kupaza wakisema "mbombo jhilipo "

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhahahahhahahahhaahaha nimesoma kwa sauti ya mama Imma!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa mwanamke kumzidi mwanaume umri siyo tatizo,Ila kama mnataka kuwa na watoto mliangalie suala hilo.Kwa mwanaume hutakiwi kumzidi sana umri mpenzi wako,kadri umri ulivyoenda na nguvu za kiume zinapungua.
 
Back
Top Bottom