Assume mm ni mwanaume, niko fresh kimuonekano, nina kazi, sijaoa, sina mtoto, nina miaka 33, hlf namtaka binti mwenye miaka 20, huyo binti anaweza ku-fall kimapenzi na mm? Huyo binti hatonichukulia mm kama babu yake au mtu mzima sana kwake? Hivyo kuwekwa kwenye category ya sponsor?
Nitaweza kushindana na vijana wa kiume wa rika lake wenye umri wa miaka 23? 24?
Naelewa mwanaume hata in your 30's unaeza pata binti Mwenye miaka 20 kwa ajili ya mahusiano, nnachouliza mm ni kuwa binti wa miaka 20 anaweza mpenda mwanaume mwenye miaka 30 toka moyoni? Bila kumpendea hela huyo mwanaume?
Wadada na wakaka wenye uzoefu wa haya mambo naomba mnijibu..