Hivi mwanaume unaweza kupata mapenzi ya kweli endapo umemzidi mwanamke miaka 13?

Upendo kutoka ni imagination katika hii dunia hamna hicho kitu.

Hakikisha ana akili na upendo kwa familia mengine ni ziada.
 
Mimi mke wangu namzidi 12 yeye kazaliwa 1997 na mimi 1985, lakini mapenzi ni ya moto moto yaani nampenda lakini pia namdekeza. Na yeye ananipenda na kikubwa zaidi ananiheshimu sana anajua napenda nini na ninachukia nini. Hata yeye sipendi kumuudhi mambo ambayo hapendi sipendi kumfanyia.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Sana sana inakua kwenye maongezi yeye anakua bado ana mentality za kitoto wewe unakua na mentality za kiutu uzima hawezi kukupa mawazo ya kimaisha yeye anawaza kula kulala kuvaa basi
 
Akiwa kwenye early 20's pasipo kujali tofauti yenu ya miaka hapo pagumu sababu kiakili bado mchanga Sana, ila akianza kuichungulia 30 hata ukiwa unamzidi kwa miaka 20 mtaishi poa tu, mimi wangu ananizidi 16 yrs
 
Ila Dunia hii ina mengi sana.

Mleta mada ni mwanamke so anataka tuassume yeye ni mwanaume. Umenichekesha sana sister.
 
Mwanaume ataheshimiwa sawa sawa bila kujali tofauti ya umri. Kama hautaishi kama mwanaume(yaani mvulana), hata ukimzidi mwanamke miaka 20 atakudharau kama mtoto mdogo.
 
Braza age ni number tu.
Sisi ndio madereva wa mapenzi, hakuna mwanaume asiyependeka we ujue switch ya mapenzi...bonyeza mulemule mtoto wa kike nyang'anyang'a na hatasikia la mutu babaa...hapo mpo rika moko kabisa
 
Mbona wazee wazaman walikuwa wanaoa, wanawake walio wazidi miaka kumi, mwanamke Una takiwa umzid miaka 10 maana wao Wana wahi kuzeeka mapema, mfano ukiwaona wanawake uliomaliza nao shule ya msingi utajiona wewe mdogo kwao Yaani utadhani mama zako wadogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demu wangu namzidi miaka 11 na ananiganda kama luba.

NB; Anajua future yangu ni very bright
 
Umri si tatizo cha muhimu ni uwezo wa kubeba majukumu
 
Hujiamini?Tafuta mashauri wa masuala ya mahusiano anaweza akukupa mwanga. Age is just a number.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…