Hivi Mwandishi wa ITV Ufoo Saro yu wapi?

Hivi Mwandishi wa ITV Ufoo Saro yu wapi?

Kwani huyu yupo huru, si alifungwa baada ya kuua? Mademu wa Kichagga sijuwi ni nani aliyewaroga kuwa matapeli wa mapenzi?
Hakuwahi kufungwa, hajamuua mtu, aliyekuwa mzazi mwenza ndio aliua mama mkwe na kisha akajiua.
 
Kwahiyo Ufoo Bado anaishi Msumi kwenye hiyo nyumba
Sifahamu maana toka litokee janga sijawasiliana naye maana hata namba alibadilisha. Mara ya mwisho nilikutana naye Arusha akiwa bado hata hajapona vizuri jeraha la risasi
 
Kuna jamaa wanajisifia kuoa wachaga kuwa wao Ni wajanja , waambie waishi na ndugu zao Kama mmoja wawili ama watatu ndio watajua Kilimanjaro sio pa kuoa.
Kuna yule wa dumila alimkodia mwanaume majambazi wakammalize ,mbaba mmoja ivi mkikuyu, matukio Ni mengi ngoja uzeeke na uchukue pension ama iwe inakaribia kutoka ndipo utajua Kama hujui.

Mkikuyu na Mchaga mbona hiyo ilikuwa hatari
 
Sijui nani alisababisha kifo cha mama yake na mumewe,sijui kati yake na mumewe. Au mumewe alihadithiwa tu na wenye wivu wa mtaani?.

Anyway,atakuwa anaendeleza kumlea yule mwanae ndyo maana haonekani runingani since those days.
Tamaa za Mali zilimponza
 
Jasho la Mtu huwa haliendi bure hasa pale ukiamua Kundhulumu chake na kitakachofuata ni Wewe Kulaanika, Kutaabika na Kuathirika Kisaikolojia ambako kutakupelekea Ufanisi wako wa Kiutendaji kufungua, Kudhoofika, Kukosa Amani na Kumsubiria tu Israeli Mtoa Roho afanye yake Kwako na ukakutane mbele ya Safari ( Mavumbini ) na yule Uliyemdhulumu kwa Kushirikiana na ama Ndugu au Wazazi au Mzazi. Karma haiepukiki kwa Wanadamu Makatili na Wadhulumati.
Umenena sahihi kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom