Hivi Mwandishi wa ITV Ufoo Saro yu wapi?

Kwani huyu yupo huru, si alifungwa baada ya kuua? Mademu wa Kichagga sijuwi ni nani aliyewaroga kuwa matapeli wa mapenzi?
Aliua na akati yeye ndo alikoswa koswa kuuawa baada ya kupigwa shaba tumboni na mama ake alikufa na muuaji akajiua...ufooo kama nakumbuka alipona akareport report muda mchache ITV afu akapotea hadi leo
 
Hii dunia bhana vichekesho kwa pisi aina ya ufoo Saro ndio ujiue?
Ufoo Saro ana sura kavu sana.anyway kizuri ni macho pa mtu
Yule mjeshi nafikiri hakujiua sababu ya uzuri ama wivu, ni vile muuaji alienda na siri zake zooote ila watu walihisi ufoo na mama ake walimdulumu mali yule jamaa (kwa tabia za wachaga)
 
Kwani huyu yupo huru, si alifungwa baada ya kuua? Mademu wa Kichagga sijuwi ni nani aliyewaroga kuwa matapeli wa mapenzi?
Kuna jamaa wanajisifia kuoa wachaga kuwa wao Ni wajanja , waambie waishi na ndugu zao Kama mmoja wawili ama watatu ndio watajua Kilimanjaro sio pa kuoa.
Kuna yule wa dumila alimkodia mwanaume majambazi wakammalize ,mbaba mmoja ivi mkikuyu, matukio Ni mengi ngoja uzeeke na uchukue pension ama iwe inakaribia kutoka ndipo utajua Kama hujui.
 
Aliua na akati yeye ndo alikoswa koswa kuuawa baada ya kupigwa shaba tumboni na mama ake alikufa na muuaji akajiua...ufooo kama nakumbuka alipona akareport report muda mchache ITV afu akapotea hadi leo
Ila yeye ndiye msabababishi wa haya majanga, si ndiyo?
 
Kuna jamaa wanajisifia kuoa wachaga kuwa wao Ni wajanja , waambie waishi na ndugu zao Kama mmoja wawili ama watatu ndio watajua Kilimanjaro sio pa kuoa.
Kuna yule wa dumila alimkodia mwanaume majambazi wakammalize ,mbaba mmoja ivi mkikuyu, matukio Ni mengi ngoja uzeeke na uchukue pension ama iwe inakaribia kutoka ndipo utajua Kama hujui.
Kuoa Wachagga au wapare ni kujitakia kifo tu mapemaaaaa tena huku unajiona una dedishwa.
 
Back
Top Bottom