Mwanamke ni kiumbe kinachobadilika anytime tena soldiers husisitiziwa kuhusu kutokumuamini mtu kirahisi.
Mwanamke hujamuoa unampa majukumu ya kimke alishindwa kufikiria nje ya boksi?!, siku zote katika maisha mwanaume lazima uwe hatua mbili mbele kifikra, kimaono na kimaamuzi mbele ya mwanamke, unamtumia millions of shillings za ujenzi mwanamke hujaoa are you serious?
Umempa hela za ujenzi fine why you didn't set backup awe anachunguza kama ujenzi unafanyika au laah!pasipo mwanamke kujua una ndugu, marafiki na jamaa alishindwa kuwapigia fulani hela hiyo nenda sehemu fulani kuna site yangu kaangalie uone kuna lolote linaendelea maana mafundi wanazingua huku akiwa hafahamu kama unamtumia mpenzi wake kuendeleza ujenzi, alishindwa kutumia mbinu za kimedani kupata taarifa za ziada, ndio maana alijiua alijiona mpuuzi kazidiwa akili.
Soldier alikuwa mwanaume ila hakuwa na maono ya kiume possibly mapenzi yalimkolea ukubwani.