Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Hakuwahi kufungwa, hajamuua mtu, aliyekuwa mzazi mwenza ndio aliua mama mkwe na kisha akajiua.Kwani huyu yupo huru, si alifungwa baada ya kuua? Mademu wa Kichagga sijuwi ni nani aliyewaroga kuwa matapeli wa mapenzi?
Walikuwa wanaishi kama mke na mume, walijenga kijumba Chao kule Mbezi Msumi, napafahamu hadi kwao.sidhani kama kuoa inazuia jambo kama hili
Alidhulumiwa na si kwamba ni wivu wa mapenziHii dunia bhana vichekesho kwa pisi aina ya ufoo Saro ndio ujiue?
Ufoo Saro ana sura kavu sana.anyway kizuri ni macho pa mtu
Nadhani alimuamini maana walikuwa wachumba wa muda mrefu na wana mtoto mmoja.Usiseme hivyo, huwezi jua makubaliano yao yalikuwaje. Halafu kwanini umtapeli mtu anayekupa pesa.
Sifahamu maana toka litokee janga sijawasiliana naye maana hata namba alibadilisha. Mara ya mwisho nilikutana naye Arusha akiwa bado hata hajapona vizuri jeraha la risasiKwahiyo Ufoo Bado anaishi Msumi kwenye hiyo nyumba
Kuna jamaa wanajisifia kuoa wachaga kuwa wao Ni wajanja , waambie waishi na ndugu zao Kama mmoja wawili ama watatu ndio watajua Kilimanjaro sio pa kuoa.
Kuna yule wa dumila alimkodia mwanaume majambazi wakammalize ,mbaba mmoja ivi mkikuyu, matukio Ni mengi ngoja uzeeke na uchukue pension ama iwe inakaribia kutoka ndipo utajua Kama hujui.
Tamaa za Mali zilimponzaSijui nani alisababisha kifo cha mama yake na mumewe,sijui kati yake na mumewe. Au mumewe alihadithiwa tu na wenye wivu wa mtaani?.
Anyway,atakuwa anaendeleza kumlea yule mwanae ndyo maana haonekani runingani since those days.
Umenena sahihi kabisa mkuuJasho la Mtu huwa haliendi bure hasa pale ukiamua Kundhulumu chake na kitakachofuata ni Wewe Kulaanika, Kutaabika na Kuathirika Kisaikolojia ambako kutakupelekea Ufanisi wako wa Kiutendaji kufungua, Kudhoofika, Kukosa Amani na Kumsubiria tu Israeli Mtoa Roho afanye yake Kwako na ukakutane mbele ya Safari ( Mavumbini ) na yule Uliyemdhulumu kwa Kushirikiana na ama Ndugu au Wazazi au Mzazi. Karma haiepukiki kwa Wanadamu Makatili na Wadhulumati.