Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mtetea tumbo🐒🐒🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAPO MAKE KWANZA NCHEKEE [emoji91]View attachment 2164939
Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi?
Vijana wanateseka hawana ajira lakini hata wale walioajiriwa na asasi za kiraia Mwigulu anataka kuwanyang'anya hela ili hao vijana wakose ajira ilihali serikali nayo haina ajira. Mwigulu hapa umepotoka na naona ni kati ya watu ambao hawana huruma na vijana wa Taifa hili na una ndoto za kuwa Rais.
Kuna siku utapendekezwa vijana wote tupewe sumu tufe maana hutupendi hata kidogo. Hata hao USAID wamekuona kiumbe wa ajabu sana maana serikali mmeshi dwa kukusanya kodi sasa mnataka na hela za NGO. Shame!
Hiyo akili hana na hawazi maana hayamuhusuAlichokifanya sio poa,vijana wengi tumeajiliwa huko hiyo miradi hua ina nini cha zaidi ya kuongeza gharama za maisha,mfano madarasa ya uviko licha ya kufanikiwa lakin gharama za ujenzi zimepanda tangu muda ule mpaka sasa hivi,hizo fedha zikiingia serikalini kwa mtindo huo huo hali itakuaje
Huyu mwigulu huwa anajiona ni mtu mwenye akili sana kumbe ni kasha tupu licha ya kuwa na Phd za dukaniView attachment 2164939
Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi?
Vijana wanateseka hawana ajira lakini hata wale walioajiriwa na asasi za kiraia Mwigulu anataka kuwanyang'anya hela ili hao vijana wakose ajira ilihali serikali nayo haina ajira. Mwigulu hapa umepotoka na naona ni kati ya watu ambao hawana huruma na vijana wa Taifa hili na una ndoto za kuwa Rais.
Kuna siku utapendekezwa vijana wote tupewe sumu tufe maana hutupendi hata kidogo. Hata hao USAID wamekuona kiumbe wa ajabu sana maana serikali mmeshi dwa kukusanya kodi sasa mnataka na hela za NGO. Shame!
Kitu cha muhimu pesa za USAID zifanye kazi iliyokusudiwa. Haileti mantiki eti sababu vijana hawana ajira basi wazitumbue hizo pesa, hapana, bali wafanye yale yaliyokusudiwa.
Elewa nilichoandika.. Rudia rudia kusoma mpaka uelewe..kwahiyo serikali ikizitumbua kama ambavyo inatumbua za tozo ndo sawa
Huyo ni Bwana SavimbiAmwshindwa kukusanya kodi sasa anataka serikali ichukue hela za NGO. Basi asajili NGO serikalini waandike proposal. Huyu mtu ni zaidi ya shetani
Mmandegesi Tukeshe kuandika Proposal waje wabugie tu ASAHAU!!! Niko jikoni ....MABEBERU teh teh tehView attachment 2164939
Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi?
Vijana wanateseka hawana ajira lakini hata wale walioajiriwa na asasi za kiraia Mwigulu anataka kuwanyang'anya hela ili hao vijana wakose ajira ilihali serikali nayo haina ajira. Mwigulu hapa umepotoka na naona ni kati ya watu ambao hawana huruma na vijana wa Taifa hili na una ndoto za kuwa Rais.
Kuna siku utapendekezwa vijana wote tupewe sumu tufe maana hutupendi hata kidogo. Hata hao USAID wamekuona kiumbe wa ajabu sana maana serikali mmeshi dwa kukusanya kodi sasa mnataka na hela za NGO. Shame!
Kipindi cha yule waliwaita Mabeberu leo Wanapiga magoti na kubembelezaHii sasa ni tamaa! Toka Serikali Kuu (Central Goverment) ilipo chukua kodi kwenye vyanzo vya Serikali ya Tawala za Mikoa (Local Goverment) na kupeleka HAZINA. Leo wanatani za US AID 😤😤 ndio maana Watu wanamkumbuka Magu maana yeye alisema nchi inayo PESA NYINGI