Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi? Aziomba hela za NGO's kutoka USAID

Mtetea tumbo🐒🐒🐒
FNE8X9aXEAEvYVr.jpg
 
View attachment 2164939
Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi?
Vijana wanateseka hawana ajira lakini hata wale walioajiriwa na asasi za kiraia Mwigulu anataka kuwanyang'anya hela ili hao vijana wakose ajira ilihali serikali nayo haina ajira. Mwigulu hapa umepotoka na naona ni kati ya watu ambao hawana huruma na vijana wa Taifa hili na una ndoto za kuwa Rais.
Kuna siku utapendekezwa vijana wote tupewe sumu tufe maana hutupendi hata kidogo. Hata hao USAID wamekuona kiumbe wa ajabu sana maana serikali mmeshi dwa kukusanya kodi sasa mnataka na hela za NGO. Shame!
HAPO MAKE KWANZA NCHEKEE [emoji91]
 
Alichokifanya sio poa, vijana wengi tumeajiriwa huko hiyo miradi huwa ina nini cha zaidi ya kuongeza gharama za maisha, mfano madarasa ya uviko licha ya kufanikiwa lakini gharama za ujenzi zimepanda tangu muda ule mpaka sasa hivi, hizo fedha zikiingia serikalini kwa mtindo huo huo hali itakuaje!
 
Alichokifanya sio poa,vijana wengi tumeajiliwa huko hiyo miradi hua ina nini cha zaidi ya kuongeza gharama za maisha,mfano madarasa ya uviko licha ya kufanikiwa lakin gharama za ujenzi zimepanda tangu muda ule mpaka sasa hivi,hizo fedha zikiingia serikalini kwa mtindo huo huo hali itakuaje
Hiyo akili hana na hawazi maana hayamuhusu
 
View attachment 2164939
Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi?
Vijana wanateseka hawana ajira lakini hata wale walioajiriwa na asasi za kiraia Mwigulu anataka kuwanyang'anya hela ili hao vijana wakose ajira ilihali serikali nayo haina ajira. Mwigulu hapa umepotoka na naona ni kati ya watu ambao hawana huruma na vijana wa Taifa hili na una ndoto za kuwa Rais.
Kuna siku utapendekezwa vijana wote tupewe sumu tufe maana hutupendi hata kidogo. Hata hao USAID wamekuona kiumbe wa ajabu sana maana serikali mmeshi dwa kukusanya kodi sasa mnataka na hela za NGO. Shame!
Huyu mwigulu huwa anajiona ni mtu mwenye akili sana kumbe ni kasha tupu licha ya kuwa na Phd za dukani
 
Hii sasa ni tamaa! Toka Serikali Kuu (Central Goverment) ilipo chukua kodi kwenye vyanzo vya Serikali ya Tawala za Mikoa (Local Goverment) na kupeleka HAZINA. Leo wanatani za US AID 😤😤 ndio maana Watu wanamkumbuka Magu maana yeye alisema nchi inayo PESA NYINGI
 
View attachment 2164939
Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi?
Vijana wanateseka hawana ajira lakini hata wale walioajiriwa na asasi za kiraia Mwigulu anataka kuwanyang'anya hela ili hao vijana wakose ajira ilihali serikali nayo haina ajira. Mwigulu hapa umepotoka na naona ni kati ya watu ambao hawana huruma na vijana wa Taifa hili na una ndoto za kuwa Rais.
Kuna siku utapendekezwa vijana wote tupewe sumu tufe maana hutupendi hata kidogo. Hata hao USAID wamekuona kiumbe wa ajabu sana maana serikali mmeshi dwa kukusanya kodi sasa mnataka na hela za NGO. Shame!
Mmandegesi Tukeshe kuandika Proposal waje wabugie tu ASAHAU!!! Niko jikoni ....MABEBERU teh teh teh
 
Hii sasa ni tamaa! Toka Serikali Kuu (Central Goverment) ilipo chukua kodi kwenye vyanzo vya Serikali ya Tawala za Mikoa (Local Goverment) na kupeleka HAZINA. Leo wanatani za US AID 😤😤 ndio maana Watu wanamkumbuka Magu maana yeye alisema nchi inayo PESA NYINGI
Kipindi cha yule waliwaita Mabeberu leo Wanapiga magoti na kubembeleza
 
Bila Mashirika Ya nje sekta ya Afya itayumba sana nchi hii.

Yaani itayumba vibaya saana.
So Mh. Waziri jitathimini kabla ya kutaka hizo hela.

Mwisho, hii nchi kuna siku tutaelewana tu
Mafuta
Unga
Petrol
Mbolea
Umeme
Ajira
....
 
Back
Top Bottom