Hivi na hapo Vatican wakatoliki huwa wanakutana jmosi asubuhi kusali jumuiya?

Hivi na hapo Vatican wakatoliki huwa wanakutana jmosi asubuhi kusali jumuiya?

Hapo Vatikani, Marekani, Ulaya, Sao Paulo, HongKong na maeneo mengine duniani wakatoliki huwa wanautamaduni Kama hapa nyumbani kukutana kila jumamosi asubuhi kusali .
Na Kama mtu hashiriki siku akifariki hapati Misa maalum kanisani?
Lidumu kabisa katoliki la mitume
aaah wp vatikani huu ujinga wa kuamshana afajiri eti jumuia haupo kabisaaa.. na uki danji unazikwa fresh tu
 
Yanayofanyika parokia ya buza ,ndivyo yanavyofanyika Kahama,Sao Paulo, California, Canada, urusi, Finland, China, uarabuni,India , Vatican Lagos na Duniani pote
Mtu athibitishe hili. Mimi siamini
 
Jumuiya ndogo ndogo ndiyo msingi wa Kanisa Katoliki. Hivyo huna namna kijana. Sali Jumuiya na waumini wenzako walau kila wiki mara moja, ili kuiimarisha imani yako.

Na kama hutaki, hamia kwa waislam ili uwe una swali swala 5 kila siku.
Tatizo michango imezidi sana hapa niko na kadi za michango kama tatu na zote zimetolewa jana zatakiwa kuwekwa pesa,kifupi jumuiya zimekua kama vikundi vya vikoba ,watu wanazidi kuzikimbia,

Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
 
Hapo Vatikani, Marekani, Ulaya, Sao Paulo, HongKong na maeneo mengine duniani wakatoliki huwa wanautamaduni Kama hapa nyumbani kukutana kila jumamosi asubuhi kusali .
Na Kama mtu hashiriki siku akifariki hapati Misa maalum kanisani?
Lidumu kabisa katoliki la mitume
Hawafanyi hivyo ila na Wanaabudu Sanamu

Tazama Mtu mzima anasujudu na kubusu mdoli akiita ndio Mungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
images%20(8).jpg
 
Tunaazimisha miaka 50 ya JNNKMwaka huu kwa kusoma waraka wa masskofu.
Unatakiwa uelewe "Kanisa moja takatifu la mitume"

We are uniform every where on this planet.
Weeeh, hakuna kitu Jumuiya kwa USA [emoji631] na kwa Europe [emoji1099] na kuzikwa kiibada ht mpagani anazikwa
 
Back
Top Bottom