Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Hakuna anayemhukumu mtu. Nawe ukiwa na jambo lako usilihukumu Kanisa. Kila mmoja ale anakopeleka mboga.Sawa ila kama mtu Hana pesa asikilizwe na asihukumiwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna anayemhukumu mtu. Nawe ukiwa na jambo lako usilihukumu Kanisa. Kila mmoja ale anakopeleka mboga.Sawa ila kama mtu Hana pesa asikilizwe na asihukumiwe.
aaah wp vatikani huu ujinga wa kuamshana afajiri eti jumuia haupo kabisaaa.. na uki danji unazikwa fresh tuHapo Vatikani, Marekani, Ulaya, Sao Paulo, HongKong na maeneo mengine duniani wakatoliki huwa wanautamaduni Kama hapa nyumbani kukutana kila jumamosi asubuhi kusali .
Na Kama mtu hashiriki siku akifariki hapati Misa maalum kanisani?
Lidumu kabisa katoliki la mitume
Mtu athibitishe hili. Mimi siaminiYanayofanyika parokia ya buza ,ndivyo yanavyofanyika Kahama,Sao Paulo, California, Canada, urusi, Finland, China, uarabuni,India , Vatican Lagos na Duniani pote
Mtu athibitishe hili. Mimi siamini
Asante kwa kunikumbusha😀
Tatizo michango imezidi sana hapa niko na kadi za michango kama tatu na zote zimetolewa jana zatakiwa kuwekwa pesa,kifupi jumuiya zimekua kama vikundi vya vikoba ,watu wanazidi kuzikimbia,Jumuiya ndogo ndogo ndiyo msingi wa Kanisa Katoliki. Hivyo huna namna kijana. Sali Jumuiya na waumini wenzako walau kila wiki mara moja, ili kuiimarisha imani yako.
Na kama hutaki, hamia kwa waislam ili uwe una swali swala 5 kila siku.
Hawafanyi hivyo ila na Wanaabudu SanamuHapo Vatikani, Marekani, Ulaya, Sao Paulo, HongKong na maeneo mengine duniani wakatoliki huwa wanautamaduni Kama hapa nyumbani kukutana kila jumamosi asubuhi kusali .
Na Kama mtu hashiriki siku akifariki hapati Misa maalum kanisani?
Lidumu kabisa katoliki la mitume
Weeeh, hakuna kitu Jumuiya kwa USA [emoji631] na kwa Europe [emoji1099] na kuzikwa kiibada ht mpagani anazikwaTunaazimisha miaka 50 ya JNNKMwaka huu kwa kusoma waraka wa masskofu.
Unatakiwa uelewe "Kanisa moja takatifu la mitume"
We are uniform every where on this planet.
Usitoke kwenye msitari, mada inazungumzia jumuiyaSiyo tu kujumuika; hadi masomo kwa siku husika hufanana duniani kote.
Asante,umemjibu vizuriNi utaratibu wa dunia nzima sema siku na muda wa kusali siyo wote jumamosi asubuhi, hata hapa nyumbani wapo wanasali jioni na siku tofauti na jumamosi . Tumsifu Yesu Kristo?