Mno bwashee, umenena kwa code ya kibingwa sana😂Huu ni ukweli mchungu
Nini ufanye?
Msuse yeye na mbususu yake mazima, potezea kabisa hata akitaka siku Moja, goma.
Akikaza hata mwaka na iwe hivyo hivyo, ila wewe Cha kufanya unajua.
Ushat...mbewa bwashee
Ipo wazi kama ya mbuzi bwasheeDah! Hapo mkali anachapiwa. 😊
Ushat...mbewa bwashee
Huyo ana mwekezaji tayarI.
Fanya kautafiti, kuna mtu atakuwa anakusaidia majukumu
Kwa dalili hizo itoshe kusema mkeo anachakatwa na masela
Hapo sasa au kibamia chake hakimkuni vizuri, yeye na jogoo hawana tofauti lazima mwanamke ajisikie kichefu chefuMtu kama amechoka afanyeje jamani