Hivi na nyie wake zenu wanawapa unyumba kwa kunung'unika kama huyu wangu?

Hivi na nyie wake zenu wanawapa unyumba kwa kunung'unika kama huyu wangu?

Kama ni maringo yake tu na anatoa ushirikiano mkianza, sababu itakuwa wewe unamdekeza na kubembeleza hovyo.

Kama ni anatoa kwa shingo upande katulia kama nguzo wala hafanyi lolote, hisia kwako zimekata anatoa tu kisa jukumu la ndoa
 
Tumsifu Yesu Kristo.

Huyu mke wangu kila nikimuomba unyumba atalalamika mara aseme "Baba J" umeanza usumbufu wako,

Mara aseme kachoka, Mara aseme yuko Period kumbe sio kweli, Mara aseme hajisikii vizuri, mara aseme ana usingizi.

Yaani mimi tendo la ndoa napewa kama hisani wakuu.

Je, na nyie wanaume wenzangu mnapewa na wake zenu kwa manung'uniko kama huyu wangu?
Unasumbuluwa kupewa mbunye afu usikute kuna mwamba anapelekewa bure na haitaki na akiila anambinua binua atakavyo
 
Toa maamuzi ya kiume, muulize kati ya yeye na wewe ni nani aliyemuoa mwenzie? Ni nani anayeleta mkate hapo nyumbani?
NB: Usihudumie ng'ombe asiyekupa maziwa.​
 
Umejaribu ubunifu kidogo
Kuwa msafi
Mletee zawadi
Mtoe out sio kila siku kwenye kitanda chenu cha 5*6
Mpeleke ht nje ya mji kidogo hata abadili mazingira
Jitahidi kumnogesha sio kila siku style ile ile, siku nyingine unamchezea antena tu hadi akojoe
Mengine jiongeze bwana
 
BFF upo?
 
Back
Top Bottom