Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,327
- 4,374
Mwanaume hatuombi unyumba kwa mkeTumsifu Yesu Kristo.
Huyu mke wangu kila nikimuomba unyumba atalalamika mara aseme "Baba J" umeanza usumbufu wako,
Mara aseme kachoka, Mara aseme yuko Period kumbe sio kweli, Mara aseme hajisikii vizuri, mara aseme ana usingizi.
Yaani mimi tendo la ndoa napewa kama hisani wakuu.
Je, na nyie wanaume wenzangu mnapewa na wake zenu kwa manung'uniko kama huyu wangu?
Ni full kucheza naye anakuta tu imo yaani imo na ushirikiano wote
Unaombaje kama hawala yako anayeombwa ni hawala tu ambaye kumpata siyo rahisi
Una mke ndani unaanzaje kuomba kwanza mpaka hapo shamsoma udhaifu wake uko wapi
Ukishamsoma na ukajua mwanamke hapindui hata kama yupo mp anatoa tu 🤣 😂 😂