Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,327
- 4,374
Mwanaume hatuombi unyumba kwa mkeTumsifu Yesu Kristo.
Huyu mke wangu kila nikimuomba unyumba atalalamika mara aseme "Baba J" umeanza usumbufu wako,
Mara aseme kachoka, Mara aseme yuko Period kumbe sio kweli, Mara aseme hajisikii vizuri, mara aseme ana usingizi.
Yaani mimi tendo la ndoa napewa kama hisani wakuu.
Je, na nyie wanaume wenzangu mnapewa na wake zenu kwa manung'uniko kama huyu wangu?
Vipi kama wewe ukiwa unataka halafu Mwanaume akakukatalia coz hajisikii,The Icebreaker
Kwangu mimi kujamiiana ni inshu sensitive na huwa siwezi kufanya kama nina kitu moyoni.
au nifanye nikuridhishe kitu ambacho nitakuwa sitendei haki moyo na maumbile yangu.
Ndoa ni taasisi inayohitaji amani muda wote ili muweze kufanya hata ambayo hayawezekani bila masharti wala vipimo.
Sijawahi kuwaza kuondoka wala kuachika!!!!!!
Yani nimuoe Mwanamke,halafu nianze tena kumtongoza ndani ya ndoa!ndio lazima kabisa yeah
🤣🤣🤣🤣Tatizo ndio liko hapo!mkishaoa mnaona ni haki yenu hakuna hata kuchombeza,nooooo nature haitaki hivyo nogesha mambo ....mnakuwa kama wakurya bwana "Ghatii chupi chini!Yani kwenye kukutongoza unizungushe, na ndoani unizungushe tena, hapana kwa kweli Joannah
Mimi nilifikiri ukisha oa unakua unaichapa kila siku,
Kumbe kuna kuiomba tena!
cc; ShesRise_1 Joanah binti kiziwi leo dada Lamomy win-one Binti wa zamani Demi
Vipi kama wewe ukiwa unataka halafu Mwanaume akakukatalia coz hajisikii,
Na wewe utaona ni sawa? au hii hali inatakiwa ifanye kazi upande mmoja tu,upande wa Ke?
nishakwambia usipende kunifokea😭😭Yani nimuoe Mwanamke,halafu nianze tena kumtongoza ndani ya ndoa!
Huo ni ukichaa aisee,ndio maana kataa ndoa hua wanajichukulia point kiulaini sana,tena bila penati.
Naongelea issue ya mleta mada,hii sio issue yangu mimi,sio kwamba inanitokea mimi,bali najadili mada.nishakwambia usipende kunifokea😭😭
kama umemuudhi? sema mi sijui bana maan huko kwenye ndoa enyew sijafika ko sielewi zaidi huwa inakuaje,, nikipata uzoefu nitarudi hapa
Haisaidii,huyo si mkewe kabisa amesogeza wakaeJitahidi kumpa hizi Mambo 👠 👠 👠 👠
hata mimi sijasema imekutokea wew ila jaribu kuvaa uhusika wa mleta mada alf mimi ndo nivae uhusika wa huyo mke alf tujadili kwa kinaNaongelea issue ya mleta mada,hii sio issue yangu mimi,sio kwamba inanitokea mimi,bali najadili mada.
Yani uvae uhusika wa huyo mke wa jamaa halau ufanye kuninyima?hata mimi sijasema imekutokea wew ila jaribu kuvaa uhusika wa mleta mada alf mimi ndo nivae uhusika wa huyo mke alf tujadili kwa kina
😂Mimi nilifikiri ukisha oa unakua unaichapa kila siku,
Kumbe kuna kuiomba tena!
cc; ShesRise_1 Joanah binti kiziwi leo dada Lamomy win-one Binti wa zamani Demi
kwahiyo utakua unanibaka?🤔😔Yani uvae uhusika wa huyo mke wa jamaa halau ufanye kuninyima?
Nitakubaka kwa nguvu tu.
Akininyima,namrudisha kwao warudishe mahari yangu,halafu mahari nafungulia biashara ya Genge,nauza Nazi na mazagazaga kama yote.😂
Jichanganye utarudi kataa ndoa kuomba usajili 🤣