lusekelo ephraim
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 306
- 234
Njoo kwangu mi nna wivu balaaNatamani kweli mpenzi mwenye wivu!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo kwangu mi nna wivu balaaNatamani kweli mpenzi mwenye wivu!!!
Irushie hapa kwa faida ya woteNicheki nikupe application ambayo tunatumia cc wakwale kesi hizo zitaisha Mkuu na utakuwa huru
UTAJIJUA SI UMEMPENDA MWENYEWE.....DADEKIWatu wengine sijui mapenzi wamejifunzia ukubwani!
Yani hivi kwa akili ya kawaida unaweza kunilinda mimi mtu mzima tena tuliyekutana ukubwani wote tukiwa na meno 32 mdomoni?
Jamani hivi na nyie wenzangu mnadate na watu yenye wivu wa kiporipori kama huyu wangu? Asione simu imepigwa atanikodolea macho mpaka nimalize kuongea halafu ndio aniulize eti nilikua naongea na nani.
Mtu ana wivu mpaka kwa ndugu zangu yaani. Asione nimeongozana njiani na mtu wa jinsia tofauti, atajinunisha mpaka basi.
Wenzangu mnawezaje kuishi na watu wa namna hii?
Hahahhaha uwiiii usiombe ukakutana na mwanamke mwenye wivu ataku fraishaNatamani kweli mpenzi mwenye wivu!!!
Wewe binti mrembo ulipotelea wapi ?
Poleee na hongeraaaa