Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Kwani wanaume ndiyo wanaeleweka?Wanawake hawaeleweki...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wanaume ndiyo wanaeleweka?Wanawake hawaeleweki...!
[emoji122] [emoji122]hhahaahahah mayo weeeee! mie nilishaweza kujitune nowdys ukiona naongea na simu mbele ya hubby bas 90%huwa ni za biashara zangu za strawberry !otherwise sipend kupigiwa simu maana unamuona mtu ananyanyuka anazima tv !sasa jichetue ukaongelee nje utajuta huo mnuno na gubu !ptu !pole !
Mtimizie haja yake ....halafu wewe ndiyo unaoneka hujui thamani ya mapenzi....sasa asipokua na wivu na wewe je ulitaka awe na wivu na nani?mtu akikupenda pendeka hakuna kero hapo mpaka uje kufungua uzi hapa na kujaza serverWatu wengine sijui mapenzi wamejifunzia ukubwani!
Yani hivi kwa akili ya kawaida unaweza kunilinda mimi mtu mzima tena tuliyekutana ukubwani wote tukiwa na meno 32 mdomoni?
Jamani hivi na nyie wenzangu mnadate na watu yenye wivu wa kiporipori kama huyu wangu? Asione simu imepigwa atanikodolea macho mpaka nimalize kuongea halafu ndio aniulize eti nilikua naongea na nani.
Mtu ana wivu mpaka kwa ndugu zangu yaani. Asione nimeongozana njiani na mtu wa jinsia tofauti, atajinunisha mpaka basi.
Wenzangu mnawezaje kuishi na watu wa namna hii?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] thats love hundred percent....but some they do not knowNatamani kweli mpenzi mwenye wivu!!!
Mpe majukum ya kumfanya kua busy kama mnaishi nae...hutaona kama atakusumbua.Ila watu wa hivi ni kero sana..kuna wa design hii pia unakuta anakuuliza upo api?unafanya nini?umekula nini? Yaani wanakera mno mfyuu.
Ningeshangaa sanaa mwenye mume halali kusema anachukia wivu wa mumewe,hhahaahahah mayo weeeee! mie nilishaweza kujitune nowdys ukiona naongea na simu mbele ya hubby bas 90%huwa ni za biashara zangu za strawberry !otherwise sipend kupigiwa simu maana unamuona mtu ananyanyuka anazima tv !sasa jichetue ukaongelee nje utajuta huo mnuno na gubu !ptu !pole !
Nipo hapa mkuuNatamani kweli mpenzi mwenye wivu!!!
Mkuu wivu ni sehemu ya mapenzi ya dhati kwa mawazo yangu, istoshe ukiona mtu ambae una mahusiano nae ya ndani moyo anakuacha ufanye utakavyo anza upelelezi mapema.
Lingine, wivu upo na utaendelea kuwepo kwa mtu anaekujali, ila kuna kitu kinaitwa gubu hiki sikiafiki hata mimi. Ukikuta mpenzi anakuandama mda wote kila unachokifanya ujue kuna mapungufu makubwa dhidi yako. Makosa ni ya kwako jirekebishe halafu ndo uje ulalamike.
Hata mimi binafsi nina wivu sana kwa mke wangu, ila sijawahi kumuhisi au kumgundua na viashiria vyovyote vyenye kuvunja amani katika ndoa yetu. Ila sipendi kumuona akicheka cheka ovyo na mwanaume nisimtambua. Moyo wangu unakua na subra pale lakini tukifika ndani namchamba harudii tena. Ila mimi akiniona nacheka na mdada anamaliza pale pale, mdada anatakiwa awe na nguvu za ziada anaweza kumpiga japo kipande cha nondo kama kipo karibu.
Ndio tena wa kishamba,alafu naamin ukiwa busy na majukum huwez kumfuatilia mtu kila saa,inakera kweli,only jobless can do that mfyuu.Aiseeh.. huu nao ni wivu? Hahah my dadaz
mnazidisha dozi ya limbwataWatu wengine sijui mapenzi wamejifunzia ukubwani!
Yani hivi kwa akili ya kawaida unaweza kunilinda mimi mtu mzima tena tuliyekutana ukubwani wote tukiwa na meno 32 mdomoni?
Jamani hivi na nyie wenzangu mnadate na watu yenye wivu wa kiporipori kama huyu wangu? Asione simu imepigwa atanikodolea macho mpaka nimalize kuongea halafu ndio aniulize eti nilikua naongea na nani.
Mtu ana wivu mpaka kwa ndugu zangu yaani. Asione nimeongozana njiani na mtu wa jinsia tofauti, atajinunisha mpaka basi.
Wenzangu mnawezaje kuishi na watu wa namna hii?
Hii ni 100% true na wanawake vicheche ndio wengi wao huchukia wakikutana na mtu mwenye wivu. Huwezi fuatiliwa kama hauna viashiria vya uchangu.kwa kifupi wewe una viashiria vya ukicheche ndio maana unalindwa namna hiyo.
asante
Wivu sio ukizidi, wivu unanogesha penzi sana hasa kwa mtu ajuaye maana ya upendo. Ila kwa malaya atachukia kuona mpenzi wake ana wivu juu yake mkwe upo?!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watu na wivu wao. Ila wivu ukizidi nao unakera!!
Ningempata wa kunipigia xm 4x/day na kunidekeza si ningenenepa mie [emoji4]
Duuuh!! Mkwe umetumia neno kali kwelizwe si ulishasema wivu na kufuatiliana fuatiliana ndio zako!!Wivu sio ukizidi, wivu unanogesha penzi sana hasa kwa mtu ajuaye maana ya upendo. Ila kwa malaya atachukia kuona mpenzi wake ana wivu juu yake mkwe upo?!!!
Hayo ndio mapenzi ya moyoni aisee, huwezi mpenda mtu kwa dhati halafu ukute anaongea au ana ukaribu na watu wa jinsia tofauti kwa kificho ama kwa dhahiri bila kuelewa dhima ya mahusiano yao au kiini cha ukaribu ni nini. Lazma uwe na doubts maana hutaki kushea utamu wako.Mkuu wivu ni sehemu ya mapenzi ya dhati kwa mawazo yangu, istoshe ukiona mtu ambae una mahusiano nae ya ndani moyo anakuacha ufanye utakavyo anza upelelezi mapema.