Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani kweli mpenzi mwenye wivu!!!
Kumbe ndo maana umeyakumbuka yale maisha ya enzi zile???km watoto vile !sipend kweli kweli !
Ningempata wa kunipigia xm 4x/day na kunidekeza si ningenenepa mie [emoji4]Aisee, wangu nikimpigia simu mara nne kwa siku anakasirika balaa sijui ni hiyo mimba inamfanya hivyo...
Ninapenda kudekeza na kubebisha ila yeye kabadilika ghafla.
wanawake akili zenu mnazijua wenyewe
haaha shindwa !Kumbe ndo maana umeyakumbuka yale maisha ya enzi zile???
Pole sana mwaego...
Uwe unamletea nyagi za kutosha... nyagi huondoa wivu mwilini
hahahaMashikolo mageni
Duuh! Hayo siyo mapz bali ni jela hiyo...Watu wengine sijui mapenzi wamejifunzia ukubwani!
Yani hivi kwa akili ya kawaida unaweza kunilinda mimi mtu mzima tena tuliyekutana ukubwani wote tukiwa na meno 32 mdomoni?
Jamani hivi na nyie wenzangu mnadate na watu yenye wivu wa kiporipori kama huyu wangu? Asione simu imepigwa atanikodolea macho mpaka nimalize kuongea halafu ndio aniulize eti nilikua naongea na nani.
Mtu ana wivu mpaka kwa ndugu zangu yaani. Asione nimeongozana njiani na mtu wa jinsia tofauti, atajinunisha mpaka basi.
Wenzangu mnawezaje kuishi na watu wa namna hii?
remote yenu mbovu?hhahaahahah mayo weeeee! mie nilishaweza kujitune nowdys ukiona naongea na simu mbele ya hubby bas 90%huwa ni za biashara zangu za strawberry !otherwise sipend kupigiwa simu maana unamuona mtu ananyanyuka anazima tv !sasa jichetue ukaongelee nje utajuta huo mnuno na gubu !ptu !pole !
Umeongea kama Mimi vile yaani...Mkuu wivu ni sehemu ya mapenzi ya dhati kwa mawazo yangu, istoshe ukiona mtu ambae una mahusiano nae ya ndani moyo anakuacha ufanye utakavyo anza upelelezi mapema.
Lingine, wivu upo na utaendelea kuwepo kwa mtu anaekujali, ila kuna kitu kinaitwa gubu hiki sikiafiki hata mimi. Ukikuta mpenzi anakuandama mda wote kila unachokifanya ujue kuna mapungufu makubwa dhidi yako. Makosa ni ya kwako jirekebishe halafu ndo uje ulalamike.
Hata mimi binafsi nina wivu sana kwa mke wangu, ila sijawahi kumuhisi au kumgundua na viashiria vyovyote vyenye kuvunja amani katika ndoa yetu. Ila sipendi kumuona akicheka cheka ovyo na mwanaume nisimtambua. Moyo wangu unakua na subra pale lakini tukifika ndani namchamba harudii tena. Ila mimi akiniona nacheka na mdada anamaliza pale pale, mdada anatakiwa awe na nguvu za ziada anaweza kumpiga japo kipande cha nondo kama kipo karibu.
labda mchecheto anajisahau kuzima kwa remote !lolremote yenu mbovu?