Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
kwa nini uongozane na mtu wa jinsia tofauti? [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry kwa lugha kali, ila unajua mkwe mpaka mtu akufatilie lazma umeonesha signals kuwa sio mtu wa kuaminika. Mimi sipendi kumfatilia mtu kabisa hasa nikikuamini ila when it happens kuwa umeanza signs za infidelity basi utanichukia, nitakufatilia tu kimya kimya na siwezi tulia.Duuuh!! Mkwe umetumia neno kali kwelizwe si ulishasema wivu na kufuatiliana fuatiliana ndio zako!!
Ila tambua tu, too much of everthing is harmfull, hivyo wivu ukizidi ni kero, tena kero kweli kweli.
Mkwe nimekuelewa sana, ktk scenario kama hiyo uko sahihi kabisa. Ila kuna wale wazee wa kujistukia yaani hata dalili hakuna ila unafuatiliwa hadi unajuta.Sorry kwa lugha kali, ila unajua mkwe mpaka mtu akufatilie lazma umeonesha signals kuwa sio mtu wa kuaminika. Mimi sipendi kumfatilia mtu kabisa hasa nikikuamini ila when it happens kuwa umeanza signs za infidelity basi utanichukia, nitakufatilia tu kimya kimya na siwezi tulia.
Imagine mpenzi wako anakuaga good night amechoka sana hawezi kuongea zaidi, kisha after 5 mins unampigia unakuta yupo on another call. Una evidence unajaribu kum confront then anakuwa mdogo anaapologize kwa kuwa alidanganya.
Would you continue to believe such person hata kama ataendelea kuwa mkweli mbeleni. Tayari ile imeshatia doa kwenye trust. Sio mtu wa kumuamini huyo, a liar is always gonna find a way to lie.
Kwa kifupi dawa ya wivu wa mapenzi ni kumuhakikishia Exclusivity mpenzi wako kwa kuwa mkweli na muwazi always. Ukiwa available muda wote its an added advantage.Jamani, lazima mjue "ukipenda lazima uwe na wivu", wivu ni kipimo cha mapenzi kwa mahusiano husika.
Kumbuka, wivu lazima uwe na kiasi, kama vile vilivyo vitu vyote duniani vinavyohitaji ukiasi, maana wivu ukizidi inakuwa ni kero tena inaweza hata kuhatarisha hata hayo mahusiano yenyewe.
Hata chakula ukila bila kiasi lazima utavimbiwa, dawa ukinywa bila kiasi itakuwa ni sumu hata kupelekea kukuua.
Sasa kwenye mapenzi wivu ni lazima uwepo , na uwe wa wastani , maana yake usivuke mipaka ukawa utaabishaji kwa mwenza.
Mimi mwenyewe nitakuwa na wivu kwa nitakayempenda , lakini nitajitahidi kujitambua na kuudhibiti wivu kwa nimpendaye.
Pia kama naye atakuwa na wivu kwangu ni jambo jema maana nitajua kuwa kweli naye ananipenda.
Na kama mpenzi anajifanyisha utajua tu kupitia wivu na kubaini kiwango cha penzi lake kwako kwa urahisi kabisa.
Unajidhibiti vipi na wivu kwa mpenzi wako!,
Ni kwa kuwa na mawasiliano hai muda wowote ule kwa kila mmoja atakapokuwa anamuhitaji mwenzi wake kwa wakati, jambo ambalo litawajengea uaminifu kwa kila mmoja na kupelekea kuaminiana sana , na kusababisha wivu uwe wa kiasi "automatically", kwa pande zote.
Kwa wapenzi kukiwa na mawasiliano mazuri kunajenga kuaminiana, na mapenzi bila mawasiliano mazuri hapo penzi wala upendo , happy kutakuwa na mapenzi ya kinafiki ya kuviziana na kudanganyana.
Kwahiyo wivu ni muhimu sana uwepo, ila uwe wa kiasi kati ya wapendanao.
Ukimwamini mpenzi wako , utajikuta hata kama hujala unanenepa unanawili hasa.
Lakini imani hiyo itajengwa na mawasiliano mazuri pekee, lugha nzuri kwa umpendae, kupatikana muda wowote utakaohitajika na mpenzi wako nk.
Pia uwazi baina ya wapendanao ndiyo jambo la pili la muhimu kufanya uwe kuudhibiti wivu kwa mpenzi wako. Uwazi unasaidia kujenga na kuinua kiwango cha imani kwa mpenzi wako na kusababisha wivu uwe wa kiasi. Maana atakuamini mno na kufanya muishi maisha ya furaha na amani, hata kama umechelewa wapi basi mpenzi wako hatakuwa na wasiwasi maana anakuwa anakuamini kwamba hutamsaliti.
Na kupelekea kuudhibiti wivu.
Nafikiri kwa sasa inatosha....
Huo wivu unaousemea wewe nauelewa, ule wivu usio na mashiko ntauita "wivu wa kisukuma".Mkwe nimekuelewa sana, ktk scenario kama hiyo uko sahihi kabisa. Ila kuna wale wazee wa kujistukia yaani hata dalili hakuna ila unafuatiliwa hadi unajuta.
Hahahaaa!! Mbona wivu wa kisukuma!!Huo wivu unaousemea wewe nauelewa, ule wivu usio na mashiko ntauita "wivu wa kisukuma".
Labda hubby wako alishaweka question mark kuhusu mwenendo wako. Haiwezekani mtu akawa na wivu from nowhere.hhahaahahah mayo weeeee! mie nilishaweza kujitune nowdys ukiona naongea na simu mbele ya hubby bas 90%huwa ni za biashara zangu za strawberry !otherwise sipend kupigiwa simu maana unamuona mtu ananyanyuka anazima tv !sasa jichetue ukaongelee nje utajuta huo mnuno na gubu !ptu !pole !
Mpe majukum ya kumfanya kua busy kama mnaishi nae...hutaona kama atakusumbua.Ila mijitu ya hivi ni kero sana..kuna wa design hii pia unakuta anakuuliza upo api?unafanya nini?umekula nini? Yaani wanakera mno mfyuu.
tako unalo?????nipo tayri kukuletea wivu mwanzo mwishoNatamani kweli mpenzi mwenye wivu!!!
Pole mkuu,wengine wivu mpaka Kwa wadada Wa MUME,Kwa wadogo zake pia ni balaa,yanatukuta wengi,ila uvumilivu na kujitahidi kumzoea maana hiyo ni Tabia ya mtu mliyekutana ukubwani kuifuta sahau.Na umezidisha ujuzi kwa hiyo anaona ukichepuka utazidisha ufundi Kwa mchepuko.Hapo usijute piaWatu wengine sijui mapenzi wamejifunzia ukubwani!
Yani hivi kwa akili ya kawaida unaweza kunilinda mimi mtu mzima tena tuliyekutana ukubwani wote tukiwa na meno 32 mdomoni?
Jamani hivi na nyie wenzangu mnadate na watu yenye wivu wa kiporipori kama huyu wangu? Asione simu imepigwa atanikodolea macho mpaka nimalize kuongea halafu ndio aniulize eti nilikua naongea na nani.
Mtu ana wivu mpaka kwa ndugu zangu yaani. Asione nimeongozana njiani na mtu wa jinsia tofauti, atajinunisha mpaka basi.
Wenzangu mnawezaje kuishi na watu wa namna hii?
Piga chini atakuua mapema huyoWatu wengine sijui mapenzi wamejifunzia ukubwani!
Yani hivi kwa akili ya kawaida unaweza kunilinda mimi mtu mzima tena tuliyekutana ukubwani wote tukiwa na meno 32 mdomoni?
Jamani hivi na nyie wenzangu mnadate na watu yenye wivu wa kiporipori kama huyu wangu? Asione simu imepigwa atanikodolea macho mpaka nimalize kuongea halafu ndio aniulize eti nilikua naongea na nani.
Mtu ana wivu mpaka kwa ndugu zangu yaani. Asione nimeongozana njiani na mtu wa jinsia tofauti, atajinunisha mpaka basi.
Wenzangu mnawezaje kuishi na watu wa namna hii?
Si utafute kuolewa na mtu asiye na wivu kabisa hasa engineers hawana wivu kabisa mkatie talaka hana adabu huyo ili uwe huru na simu yako na hao wa barabarani desemba hiyo imeingia kakate talaka haraka engineer unakusubiri kwa hamu.Watu wengine sijui mapenzi wamejifunzia ukubwani!
Yani hivi kwa akili ya kawaida unaweza kunilinda mimi mtu mzima tena tuliyekutana ukubwani wote tukiwa na meno 32 mdomoni?
Jamani hivi na nyie wenzangu mnadate na watu yenye wivu wa kiporipori kama huyu wangu? Asione simu imepigwa atanikodolea macho mpaka nimalize kuongea halafu ndio aniulize eti nilikua naongea na nani.
Mtu ana wivu mpaka kwa ndugu zangu yaani. Asione nimeongozana njiani na mtu wa jinsia tofauti, atajinunisha mpaka basi.
Wenzangu mnawezaje kuishi na watu wa namna hii?
Mtu anahisi wivu ukiwa haupo nae tu, atakusakama mara umeanza mambo yako eh! Upo wapi kila saa, unafanya nini? Hapo hajawahi kuona chochote hatarishi ila accusations haziishiHahahaaa!! Mbona wivu wa kisukuma!!
Kwakweli taabu tupu!!Mtu anahisi wivu ukiwa haupo nae tu, atakusakama mara umeanza mambo yako eh! Upo wapi kila saa, unafanya nini? Hapo hajawahi kuona chochote hatarishi ila accusations haziishi