Niliwahi kudate na mdada mmoja,ila nilishindwana nae kwa wivu aise,yani mpaka job alikua anakuja,ata nikimwambia nasafiri yupo tayari kuomba likizo ya muda ili twende wote,nilikua na mazoea na dada mmoja hivi jilani,basi akajua namla,ikabidi amuhamishe pale jilani na akamnunulia simu nyingine na akambadilishia laini ili asinitafute,cha ajabu nikawa nakosa raha maana ata marafiki zangu wakanikimbia maana wakitaka tutoke anajua tunaenda kupiga "ngozi" .mwisho wa siku nikaamua kujitoa jela,nikamwambia mama baki na pesa zako mie siwezi utumwa huu!!