Pre GE2025 Hivi nafasi ya Makamu Mwenyekiti ni Wenje tu aliyechukua fomu na hakuna mwingine? Hii hatari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu amekurupuka alitakiwa ajipange
Kweli. Angekuwa amejipanga tungeliona mgombea Umakamu akiwa na msimamo kama wake au wa kambi yake. Ebu chukulia ashinde Lissu na Wenje Umakamu. Hapo kitakuwa na chama kweli? Inawezekana Mbowe hamtaki Lissu ndio maana Wenje kagombea Umakamu wamuondoe Mropokaji kwenye uongozi.
 
kabisa, angelijipanga lazima angeaandaa mgombea wa umakamo.
 
Kweli. Angekuwa amejipanga tungeliona mgombea Umakamu akiwa na msimamo kama wake au wa kambi yake. Ebu chukulia ashinde Lissu na Wenje Umakamu. Hapo kitakuwa na chama kweli? Inawezekana Mbowe hamtaki Lissu ndio maana Wenje kagombea Umakamu wamuondoe Mropokaji kwenye uongozi.
Sasa ukimuondoa Lissu suluhisho ndio Wenje? Mbona chadema tumekua vituko.
 
Back
Top Bottom