Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Itakuwa ni uzembe kumuachia Wenje peke yake.
Inawezekana labda other potential candidates wanavizia Ubunge come 2025 ili kujihakikisha mshahara wa uhakika kwa kuwa Makamu wa Mwenyekiti ndani ya Chama hana say kwenye mambo nyeti na huenda hata salary yake ni ya mashaka
Hiki chama kinapaswa kujitafakari na uongozi mpya unaweza kuwa na pa kuanzia kwa kuibomoa status quo.