milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Atakosa Bara na Pwani!Lissu amekurupuka alitakiwa ajipange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakosa Bara na Pwani!Lissu amekurupuka alitakiwa ajipange
Heche awe makamu wa king'ang'anizi makengeza? Acheni utani basi, hivi nyie wachaga mnatuonaje wakuryaHivi wenje ndio makamu mwenyekiti? Kwanini Heche asichukue fomu watuondolee huyu fisadi mdogo? Chadema is becoming a joke kama Wenje ndio atakua second in command
Mnara wa babeli huo, Mungu keshafanya yake kila shetani anaongea lugha yake.Tundu Lissu aliulizwa swali hili kama akishinda Uenyekiti halafu Wenje akashinda Umakamu itakuwaje?
Akajibu kwa ukweli na uwazi in the quintessence Tundu Lissu way, kwamba itakuwa disaster. Alitumia neno hilo, disaster.
Akasema watu washawishi viongozi wanaofaa kugombea nafasi hiyo.
Nikajiuliza sana, kama yeye hajashawishi mtu anayeona anaweza kufanya kazi naye, hilo litakuwa jambo la hatari sana na kwa kweli itakuwa lack of judgement on his part.
Tundu Lissu hatakiwi kujipanga kwenye kushinda uenyekiti tu, anatakiwa kuwa na mtu kama mgombea mwenza kwenye umakamu, mtu anayeweza kufanya naye kazi vizuri.
Vinginevyo Tundu Lissu anaweza kushinda uenyekiti, halafu tukaenda kuona disaster anayoisema kwa sababu makamu ni Wenje.
Tundu Lissu akiwa mwenyekiti na akishindwa kuwa na makamu anayeweza kufanya naye kazi vizuri itakuwa ni mistake kubwa sana.
Huyo Mungu unamsingizia tu.Mnara wa babeli huo, Mungu keshafanya yake kila shetani anaongea lugha yake.
Ndiyo, Erythrocyte kasema Chadema ni mpango wa Mungu.Huyo Mungu unamsingizia tu.
Ushuzi ajambe Abduli halafu lawama unampa Mungu?
Unaweza hata kuthibitisha huyo Mungu yupo kweli?
Mungu mwenyewe ni mpango wa wanasiasa.Ndiyo, Erythrocyte kasema Chadema ni mpango wa Mungu.
Mwana-Chadema mwenye njaa? Nani hataki pesa za bure?Haahaa atakayemwokoa lissu ni wanachadema tu wanaokipenda chama Chao kwa dhati
Kweli. Angekuwa amejipanga tungeliona mgombea Umakamu akiwa na msimamo kama wake au wa kambi yake. Ebu chukulia ashinde Lissu na Wenje Umakamu. Hapo kitakuwa na chama kweli? Inawezekana Mbowe hamtaki Lissu ndio maana Wenje kagombea Umakamu wamuondoe Mropokaji kwenye uongozi.
Lissu amekurupuka alitakiwa ajipange
kabisa, angelijipanga lazima angeaandaa mgombea wa umakamo.
Anzishen chama chenu kwan shida ni nn?
Mnazunguka zunguka sana .,kifupi lissu hawez kushinda uenyekiti hata kama mizimu yote itataka..Tundu Lissu aliulizwa swali hili kama akishinda Uenyekiti halafu Wenje akashinda Umakamu itakuwaje?
Akajibu kwa ukweli na uwazi in the quintessence Tundu Lissu way, kwamba itakuwa disaster. Alitumia neno hilo, disaster.
Akasema watu washawishi viongozi wanaofaa kugombea nafasi hiyo.
Nikajiuliza sana, kama yeye hajashawishi mtu anayeona anaweza kufanya kazi naye, hilo litakuwa jambo la hatari sana na kwa kweli itakuwa lack of judgement on his part.
Tundu Lissu hatakiwi kujipanga kwenye kushinda uenyekiti tu, anatakiwa kuwa na mtu kama mgombea mwenza kwenye umakamu, mtu anayeweza kufanya naye kazi vizuri.
Vinginevyo Tundu Lissu anaweza kushinda uenyekiti, halafu tukaenda kuona disaster anayoisema kwa sababu makamu ni Wenje.
Tundu Lissu akiwa mwenyekiti na akishindwa kuwa na makamu anayeweza kufanya naye kazi vizuri itakuwa ni mistake kubwa sana.
Anajua anachokifanya,kifupi lissu ameamua kuondoka chadema kinamna yake,hajataka kutoka kinyonge kama mshkaji wake msigwa,lissu kaamua kuwavua nguo wanafki wanaozushia wenzao usaliti wakiamua kujiweka pembeni,Atakosa Bara na Pwani!
Singid... Kuna kabila Lina akili SAWA na pund .. na TAL ni mmoja wapoAnajua anachokifanya,kifupi lissu ameamua kuondoka chadema kinamna yake,hajataka kutoka kinyonge kama mshkaji wake msigwa,lissu kaamua kuwavua nguo wanafki wanaozushia wenzao usaliti wakiamua kujiweka pembeni,
Hana mipango hata na huo uenyekiti.
Sio mjinga lissu.
Kuna maongezi ya zaidi ya uenyekiti hapa.Mnazunguka zunguka sana .,kifupi lissu hawez kushinda uenyekiti hata kama mizimu yote itataka..
Uenyekiti wa chadema mbowe atarithiwa na mtu atakaemtaka na kumuandaa yeye mwenyew.
I know lissu mwenyew anajua hawez kushinda hiyo nafasi na ndio maana hajajiandaa Wala kujisumbua kupanga team yake yakufanya nayo kazi.
Lissu aliingia kwenye hicho kinyang'anyiro ili tuyajue tunayoyaskia Sasa then alale zake mbele kama mshkaji wake msigwa ispokua yeye hakutaka kuondoka chadema kinyongen
Na huu ndo mpango wa lisu .kifupi lissu teyari ni mshindiKuna maongezi ya zaidi ya uenyekiti hapa.
Kuna principles za demokrasia ambazo Lissu kuziongea tu kashashinda.
CHADEMA wana mtihani wa kwenda upande sahohi wa historia aliko Lissu ama kung'ang'ania maigizo ya Mbowe.
Lissu hata akishindwa uenyekiti, kashasimama na kuhesabiwa kuwa kakataa umangimeza.
Endeleeni na kejeli tu, mtatoka nyieAnzishen chama chenu kwan shida ni nn?
Angemuandaa kivipi?. Hayo mambo ya kuandaa yapo huko kwenu CCM.