Pre GE2025 Hivi nafasi ya Makamu Mwenyekiti ni Wenje tu aliyechukua fomu na hakuna mwingine? Hii hatari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi wenje ndio makamu mwenyekiti? Kwanini Heche asichukue fomu watuondolee huyu fisadi mdogo? Chadema is becoming a joke kama Wenje ndio atakua second in command
Heche awe makamu wa king'ang'anizi makengeza? Acheni utani basi, hivi nyie wachaga mnatuonaje wakurya
 
Tundu Lissu aliulizwa swali hili kama akishinda Uenyekiti halafu Wenje akashinda Umakamu itakuwaje?

Akajibu kwa ukweli na uwazi in the quintessence Tundu Lissu way, kwamba itakuwa disaster. Alitumia neno hilo, disaster.

Akasema watu washawishi viongozi wanaofaa kugombea nafasi hiyo.

Nikajiuliza sana, kama yeye hajashawishi mtu anayeona anaweza kufanya kazi naye, hilo litakuwa jambo la hatari sana na kwa kweli itakuwa lack of judgement on his part.

Tundu Lissu hatakiwi kujipanga kwenye kushinda uenyekiti tu, anatakiwa kuwa na mtu kama mgombea mwenza kwenye umakamu, mtu anayeweza kufanya naye kazi vizuri.

Vinginevyo Tundu Lissu anaweza kushinda uenyekiti, halafu tukaenda kuona disaster anayoisema kwa sababu makamu ni Wenje.

Tundu Lissu akiwa mwenyekiti na akishindwa kuwa na makamu anayeweza kufanya naye kazi vizuri itakuwa ni mistake kubwa sana.
Mnara wa babeli huo, Mungu keshafanya yake kila shetani anaongea lugha yake.
 
Heri ya Christmas Wanajamvi.
Mjadala wa CHADEMA, kwa sasa ndio habari ya mjini, hata kwa wasiofuatilia Siasa.

Imefikia hatua hata uteuzi na uapisho uliofanyika Ikulu ndogo ya TUNGUU uliofanyika majuma kadhaa yaliopita ,kutopata coverage ya kutosha kwenye mitandao ya kijamii kama ilivyo Habari ya umwenyekiti wa CHADEMA.

Ushauri wangu, mteue KINGWENDU kuwa Mbunge, na BAMBO kuwa mjumbe wa bodi Mojawapo kama vile bodi ya utalii,kupitia waziri mwenye dhamana.

Baada ya uteuzi huo kwa muda Mjadala wa CHADEMA utaenda likizo na watu watajadili uteuzi wa BAMBO na KINGWENDU.

Ukilifanya hilo mheshimiwa Rais, utakuja kunishukuru.

Nimetumia BAMBO na KINGWENDU kama mfano, inawezekana pia ukawateua Ndugu wengine tofauti, kama ndugu yangu MADEBE LIDAI na na mtaani wangu Muhogo mchungu.

Ushauri sio shururuti, unaweza kukataa pia sio Lazima kuafiki.

Ni hayo tu mh Rais, Nikutakie Christmas njema.
 
Kweli. Angekuwa amejipanga tungeliona mgombea Umakamu akiwa na msimamo kama wake au wa kambi yake. Ebu chukulia ashinde Lissu na Wenje Umakamu. Hapo kitakuwa na chama kweli? Inawezekana Mbowe hamtaki Lissu ndio maana Wenje kagombea Umakamu wamuondoe Mropokaji kwenye uongozi.

Ndio Nini hiki?. Unamuindoa Lissu umuweke Wenje. Mbona ni ujinga wa mwisho.
 
Tundu Lissu aliulizwa swali hili kama akishinda Uenyekiti halafu Wenje akashinda Umakamu itakuwaje?

Akajibu kwa ukweli na uwazi in the quintessence Tundu Lissu way, kwamba itakuwa disaster. Alitumia neno hilo, disaster.

Akasema watu washawishi viongozi wanaofaa kugombea nafasi hiyo.

Nikajiuliza sana, kama yeye hajashawishi mtu anayeona anaweza kufanya kazi naye, hilo litakuwa jambo la hatari sana na kwa kweli itakuwa lack of judgement on his part.

Tundu Lissu hatakiwi kujipanga kwenye kushinda uenyekiti tu, anatakiwa kuwa na mtu kama mgombea mwenza kwenye umakamu, mtu anayeweza kufanya naye kazi vizuri.

Vinginevyo Tundu Lissu anaweza kushinda uenyekiti, halafu tukaenda kuona disaster anayoisema kwa sababu makamu ni Wenje.

Tundu Lissu akiwa mwenyekiti na akishindwa kuwa na makamu anayeweza kufanya naye kazi vizuri itakuwa ni mistake kubwa sana.
Mnazunguka zunguka sana .,kifupi lissu hawez kushinda uenyekiti hata kama mizimu yote itataka..
Uenyekiti wa chadema mbowe atarithiwa na mtu atakaemtaka na kumuandaa yeye mwenyew.
I know lissu mwenyew anajua hawez kushinda hiyo nafasi na ndio maana hajajiandaa Wala kujisumbua kupanga team yake yakufanya nayo kazi.
Lissu aliingia kwenye hicho kinyang'anyiro ili tuyajue tunayoyaskia Sasa then alale zake mbele kama mshkaji wake msigwa ispokua yeye hakutaka kuondoka chadema kinyongen
 
Atakosa Bara na Pwani!
Anajua anachokifanya,kifupi lissu ameamua kuondoka chadema kinamna yake,hajataka kutoka kinyonge kama mshkaji wake msigwa,lissu kaamua kuwavua nguo wanafki wanaozushia wenzao usaliti wakiamua kujiweka pembeni,
Hana mipango hata na huo uenyekiti.
Sio mjinga lissu.
 
Singid... Kuna kabila Lina akili SAWA na pund .. na TAL ni mmoja wapo
 
Mnazunguka zunguka sana .,kifupi lissu hawez kushinda uenyekiti hata kama mizimu yote itataka..
Uenyekiti wa chadema mbowe atarithiwa na mtu atakaemtaka na kumuandaa yeye mwenyew.
I know lissu mwenyew anajua hawez kushinda hiyo nafasi na ndio maana hajajiandaa Wala kujisumbua kupanga team yake yakufanya nayo kazi.
Lissu aliingia kwenye hicho kinyang'anyiro ili tuyajue tunayoyaskia Sasa then alale zake mbele kama mshkaji wake msigwa ispokua yeye hakutaka kuondoka chadema kinyongen
Kuna maongezi ya zaidi ya uenyekiti hapa.

Kuna principles za demokrasia ambazo Lissu kuziongea tu kashashinda.

CHADEMA wana mtihani wa kwenda upande sahihi wa historia aliko Lissu ama kung'ang'ania maigizo ya Mbowe.

Lissu hata akishindwa uenyekiti, kashasimama na kuhesabiwa kuwa kakataa umangimeza.
 
Kuna maongezi ya zaidi ya uenyekiti hapa.

Kuna principles za demokrasia ambazo Lissu kuziongea tu kashashinda.

CHADEMA wana mtihani wa kwenda upande sahohi wa historia aliko Lissu ama kung'ang'ania maigizo ya Mbowe.

Lissu hata akishindwa uenyekiti, kashasimama na kuhesabiwa kuwa kakataa umangimeza.
Na huu ndo mpango wa lisu .kifupi lissu teyari ni mshindi
 
Back
Top Bottom