Fikiria chair person Mbowe,deputy Wenje hyo n Chadema ya aina yake yaan kulamba asali kwenda mbele,Abdul hooooyeeee!Hivi wenje ndio makamu mwenyekiti? Kwanini Heche asichukue fomu watuondolee huyu fisadi mdogo? Chadema is becoming a joke kama Wenje ndio atakua second in command
Kujipangaje?.Lissu amekurupuka alitakiwa ajipange
Ni aibu sana, yale yale ya Mbowe na Mashinji!!Fikiria chair person Mbowe,deputy Wenje hyo n Chadema ya aina yake yaan kulamba asali kwenda mbele,Abdul hooooyeeee!
Wenje automatically kwa tuhuma zilizo upande wake hataweza kufanya kazi tena vizuri kama makamo labda abaki tu na hiyo tittle., hali ni mbaya sanaMimi kwa mawazo yangu huyu wenje ni pandikizi la Mbowe tuombe mtu mwingine achukue fomu kama Heche kwa nafasi hiyo mbona kimya.
Nawatakia Krismas njema
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Kweli. Angekuwa amejipanga tungeliona mgombea Umakamu akiwa na msimamo kama wake au wa kambi yake. Ebu chukulia ashinde Lissu na Wenje Umakamu. Hapo kitakuwa na chama kweli? Inawezekana Mbowe hamtaki Lissu ndio maana Wenje kagombea Umakamu wamuondoe Mropokaji kwenye uongozi.Lissu amekurupuka alitakiwa ajipange
Kweli. Angekuwa amejipanga tungeliona mgombea Umakamu akiwa na msimamo kama wake au wa kambi yake. Ebu chukulia ashinde Lissu na Wenje Umakamu. Hapo kitakuwa na chama kweli? Inawezekana Mbowe hamtaki Lissu ndio maana Wenje kagombea Umakamu wamuondoe Mropokaji kwenye uongozi.
Mbowe-Mfanyabiashara wa ndani +nje.Mimi kwa mawazo yangu huyu wenje ni pandikizi la Mbowe tuombe mtu mwingine achukue fomu kama Heche kwa nafasi hiyo mbona kimya.
Nawatakia Krismas njema
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Sasa ukimuondoa Lissu suluhisho ndio Wenje? Mbona chadema tumekua vituko.Kweli. Angekuwa amejipanga tungeliona mgombea Umakamu akiwa na msimamo kama wake au wa kambi yake. Ebu chukulia ashinde Lissu na Wenje Umakamu. Hapo kitakuwa na chama kweli? Inawezekana Mbowe hamtaki Lissu ndio maana Wenje kagombea Umakamu wamuondoe Mropokaji kwenye uongozi.
Dalali Makamu wa Lissu (hapo lazima kiwake)Hivi wenje ndio makamu mwenyekiti? Kwanini Heche asichukue fomu watuondolee huyu fisadi mdogo? Chadema is becoming a joke kama Wenje ndio atakua second in command
Anakurupuka sana Lissukabisa, angelijipanga lazima angeaandaa mgombea wa umakamo.
Anakurupuka sana Lissu