Pre GE2025 Hivi nafasi ya Makamu Mwenyekiti ni Wenje tu aliyechukua fomu na hakuna mwingine? Hii hatari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tundu Lissu aliulizwa swali hili kama akishinda Uenyekiti halafu Wenje akashinda Umakamu itakuwaje?

Akajibu kwa ukweli na uwazi in the quintessence Tundu Lissu way, kwamba itakuwa disaster. Alitumia neno hilo, disaster.

Akasema watu washawishi viongozi wanaofaa kugombea nafasi hiyo.

Nikajiuliza sana, kama yeye hajashawishi mtu anayeona anaweza kufanya kazi naye, hilo litakuwa jambo la hatari sana na kwa kweli itakuwa lack of judgement on his part.

Tundu Lissu hatakiwi kujipanga kwenye kushinda uenyekiti tu, anatakiwa kuwa na mtu kama mgombea mwenza kwenye umakamu, mtu anayeweza kufanya naye kazi vizuri.

Vinginevyo Tundu Lissu anaweza kushinda uenyekiti, halafu tukaenda kuona disaster anayoisema kwa sababu makamu ni Wenje.

Tundu Lissu akiwa mwenyekiti na akishindwa kuwa na makamu anayeweza kufanya naye kazi vizuri itakuwa ni mistake kubwa sana.
 
CCM bhana waliimba ngonjera kibao humu kwamba Mbowe hafuati Demokrasia baada ya kuwa Mwenyekiti for over 21yrs. Kwa kuogopa msimamo wa Lissu sasa naona wamekuwa wapiga debe wa Mbowe na Vibaraka wake. Simply anaweza kuhongeka na fedha za Abdul. Disgusting
 
H
Hilo sio kosa la lissu, wanachadema wanaokipenda chama Chao wachukue fomu ya kuomba fomu ya makamu mwenyekiti
 
H

Hilo sio kosa la lissu, wanachadema wanaokipenda chama Chao wachukue fomu ya kuomba fomu ya makamu mwenyekiti
Litakuwa ni kosa strategic la Lissu kama yeye anataka kugombea uenyekiti halafu hajajipanga kuweka ama kunu endorse mtu anayeweza kufanya naye kazi vizuri kugombea umakamu.

Itakuwa kama anaachia vitu viende kwa kudra na bahati sehemu ambayo anaweza kupanga mambo yaende anavyotaka yeye.
 
Wanasiasa wote ni wala rushwa na wachumia tumbo. Sisiemu na wapinzani wao wote wako sawa
Hata wewe ukipata pesa utakataa?
Mnajifanya wasafi kumbe wachafu mnatembea na mavi tumbon pumbavu kabsaa

Chukua chako mapema
Pita hivi unawatetea watu wasiojitambua
Huko ni kupoteza muda
 
Mropokaj atatema bungo tuu
Aende chauma
 
Bahati nzur washamstukia anataka kuzamisha chama
Aende chauma tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…