Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Nyie ndiyo mtatokaEndeleeni na kejeli tu, mtatoka nyie
Sisi tulishaanzisha chetu ambacho ndiyo mnakitakaAnzisha wewe Cha kwako
Naamini ushamjuaNani anataka kuzamisha chama?
Chawa mwenye faidaChawa kama wewe nakupuuza tu.
Wewe hupendi pesa??CCM bhana waliimba ngonjera kibao humu kwamba Mbowe hafuati Demokrasia baada ya kuwa Mwenyekiti for over 21yrs. Kwa kuogopa msimamo wa Lissu sasa naona wamekuwa wapiga debe wa Mbowe na Vibaraka wake. Simply anaweza kuhongeka na fedha za Abdul. Disgusting
Hapana sijamjua ndiyo maana nikakuuliza.Naamini ushamjua
Mbona sasa CCM na TISS ndiyo wanampigania Mbowe aendelee na usultani wake hilo nalo linahitaji elimu kubwa kubaini kuwa ndiyo mwisho wa Chadema kuwa chama kikuu cha upinzani?Chawa mwenye faida
Waambien sisiem watoke madarakan
Sio kutupigia kelele
Nenden chauma
Vyama vipo vingi tuu
Kachukie form mkuu, sidhami kama Mbowe anazuia wanachama wemye sifa.Mimi kwa mawazo yangu huyu wenje ni pandikizi la Mbowe tuombe mtu mwingine achukue fomu kama Heche kwa nafasi hiyo mbona kimya.
Nawatakia Krismas njema
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Kaka fanya kazi achana na siasa ni utopolo acha kifeMbona sasa CCM na TISS ndiyo wanampigania Mbowe aendelee na usultani wake hilo nalo linahitaji elimu kubwa kubaini kuwa ndiyo mwisho wa Chadema kuwa chama kikuu cha upinzani?
Kaka eeh fanya kazi achana na siasa ni utopolo acha chama kifeHapana sijamjua ndiyo maana nikakuuliza.
Nani anataka kuzamisha chama? Unaogopa kumtaja?
Siasa umeanzisha wewe nikikubana ufafanue unakwepa kwa kusema nifanye kazi niache siasa?Kaka eeh fanya kazi achana na siasa ni utopolo acha chama kife
Wewe hupendi pesa?
We ndo unakurupuka, Lisu ni mkweli hataki udalali wenuAnakurupuka sana Lissu
Hakuna mtu mkweli DUNIANI. Ebu jitafakari wewe mwenyewe, ni mkweli!? Ahahahahaha!!!We ndo unakurupuka, Lisu ni mkweli hataki udalali wenu
Mpaka umbembeleze Heche achukue fomu wakati yeye kaogopa, unahisi anafaa?Mimi kwa mawazo yangu huyu wenje ni pandikizi la Mbowe tuombe mtu mwingine achukue fomu kama Heche kwa nafasi hiyo mbona kimya.
Nawatakia Krismas njema
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa