Ntarudi mwishoni wacha waje wachangie wengine kwanza!
Najua una kaudini kiasi ila umesahau kuuliza kwanini J,pili iwe siku ya mapumziko na isiwe Ijumaa na J,pili?
hivi uwarabuni huwa nisiku gani vile..na kuna skuku yoyote inapambwa kama x'mass..world wide?
Hebu tupe ushahidi wa mashehe wanaochinja huko machinjioni, mimi napita pita sana vingunguti kununuwa nyama, sijakutana na shehe anaechinja huko bali nimekuta vijana ndio wanachinja huko.
Au una maana ipi unaposema "mashehe"?
Hii ishu ina migogo baadhi ya maeneo na watu wanataka kuanza kugoma kununua nyama. Niliwahi kutana nayo na kwenye maoni ya katiba mpya. Kisheria na kijamii nani wanaruhusiwa kuchinja mifugo machinjioni? Tumezoea mashehe ndo wanachinja, je wachungaji/wainjilisti na mapadre/makatekista wanaruhusiwa kuchinja? Kama ndio kwa nini haikuwekwa zamu? Kama hapana kwa nini iwe hivyo? Kuna ndugu zangu wauza nyama na wengine ni walokole wamenifuata na kuniuliza kuhusu hilo, ukichukulia nina kaelimu ka kukariri wakajua najua kila kitu. Naomba wanasheria, wanajamii, mabwana mifugo na wengine wenye ujuzi wa hili jambo mnijuze ili nisitoe ufafanuzi wa kimgogoro.
Samahani kidogo wadau, hivi KITIMOTO anachinjwa au anauawa?
Ntarudi mwishoni wacha waje wachangie wengine kwanza!
Najua una kaudini kiasi ila umesahau kuuliza kwanini J,pili iwe siku ya mapumziko na isiwe Ijumaa na J,pili?
kitu kikichinjwa kinachofuata ni kuuawa!hiyo ndiyo tofauti. Nguruwe anachinjwa na hana usumbufu kama Baadhi ya wanyama wengine.
mkuu nimesema ni mambo yanayoongelewa mtaani na yaliongelewa kwenye utoaji wa maoni ya katiba. Unajua kuna mambo yalikuwepo inabidi tupate ufafanuzi, je na nchi zingine wanafanya hivyo?
Yeyote anaweza kuchinja hasa ikizingatiwa kuwa hizi dini nyemelezi zimemkuta mswahili akijua kuchinja kupika na kula. Nadhani anayeweza kuchinja ni suala la mwenye mnyama. By the way, nani anastahili kuchinja samaki, nyati, Swala, Nyumbu na wengine wengi? Sijui hawa walioweka masharti ya kuchinja mfano ng'ombe kama wanao kwao zaidi ya kuwafaidi toka kwetu.
Hii ishu ina migogo baadhi ya maeneo na watu wanataka kuanza kugoma kununua nyama. Niliwahi kutana nayo na kwenye maoni ya katiba mpya. Kisheria na kijamii nani wanaruhusiwa kuchinja mifugo machinjioni? Tumezoea mashehe ndo wanachinja, je wachungaji/wainjilisti na mapadre/makatekista wanaruhusiwa kuchinja? Kama ndio kwa nini haikuwekwa zamu? Kama hapana kwa nini iwe hivyo? Kuna ndugu zangu wauza nyama na wengine ni walokole wamenifuata na kuniuliza kuhusu hilo, ukichukulia nina kaelimu ka kukariri wakajua najua kila kitu. Naomba wanasheria, wanajamii, mabwana mifugo na wengine wenye ujuzi wa hili jambo mnijuze ili nisitoe ufafanuzi wa kimgogoro.
Umeshajiuliza katika nchi ya Vatican huwa anaxhinja nani?.
Lakini hakuna lolote zaidi ya kushika kisu na kukata shingo! Kwanza mara nyingi issue za kuku mama anamaliza mwenyewe huko jikoni na mie nakutana na nyama mezani, kwenye mbuzi nashiriki maana anaweza kumshinda nguvu, na pia naelekeza vijana wafanye!
Hebu jiulize hao kuku wanaoliwa chips huko mitaani wanachinjwa vipi.
Tehe tehe tehe! Ni baadhi ya mambo ambayo huwa yananipa raha sana jf.Samahani kidogo wadau, hivi KITIMOTO anachinjwa au anauawa?