Mayahudi waliomtesa masihaIslael ni nini??
Mjinga pekee ndio anaona historia imeanzia October 7Mimi kwa mtazamo wangu magaidi ni wale waliovamia kwenye tamasha na kuanza kumwaga risasi na kuwaua raia wasio na hatia badala ya kuvamia makambi ya jeshi......
Mjinga ni yule anayeamini maoni na mtazamo wake ni Sheria kwa wengineMjinga pekee ndio anaona historia imeanzia October 7
Israel wamevamia nchi gani?Kwa maoni yangu Islael ndo magaidi mana walivamia nchi ya watu na wanaendeleza ugaidi.
Ee Mungu wahurumie na waokoe wapalestina.
Mimi mkatoliki mwaminifu.
YakoboIslael ni nini??