Hivi nani gaidi kati Israel na M23 au Wanamgambo wa kule Gaza?

Hivi nani gaidi kati Israel na M23 au Wanamgambo wa kule Gaza?

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Kwa maoni yangu Islael ndo magaidi mana walivamia nchi ya watu na wanaendeleza ugaidi.

Ee Mungu wahurumie na waokoe wapalestina.

Mimi mkatoliki mwaminifu.
 
Mimi kwa mtazamo wangu magaidi ni wale waliovamia kwenye tamasha na kuanza kumwaga risasi na kuwaua raia wasio na hatia badala ya kuvamia makambi ya jeshi......
 
Gaidi si Israel bali gaidi ni wazayuni , some Ashekinaz shit who wants to build what thay call "greater Israeli" By the blood of indigenous Palestinians people. And IT WILL NEVER HAPPEN
 
Back
Top Bottom