Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

Yah kumu advise avaeje ni muhimu and she feel cherished. Mi huwa nainjoy sana pia kumsimamia mavazi.
 
Hahahah ukiwa smart tutakula wote, sio chakula kinaliwa saa 4 usiku, lunch saa 10 jioni 😁😁😁!
Nyumba lazma iwe na ratiba nyoofu. Chai saa 2, lunch saa 6/7 cha jioni saa 1 kiwe tayar by saa 2 watu washakula.
 
Hahahah ukiwa smart tutakula wote, sio chakula kinaliwa saa 4 usiku, lunch saa 10 jioni [emoji16][emoji16][emoji16]!
Nyumba lazma iwe na ratiba nyoofu. Chai saa 2, lunch saa 6/7 cha jioni saa 1 kiwe tayar by saa 2 watu washakula.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mtu azunguke awezavyo ila usiku ahakikishe anarudi kula nyumbani.
Bila hivyo hatutaelewana[emoji1787]
 
Hahahah ukigundua hilo unamsema tu lakini. Asitese watoto kwa tamaa zake za kubana hela ya kula πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ akitaka aombe umpe za kwake...Unamtishia tishia kidogo
 
Sasa mkuu umewekeza uchagani,hapo kwenye ndoa yeye kwake ni ajira.
Yeye siku anaolewa kwenye siku ya send off mamake anamwambia ukifika huko usitusahau na kanyumba mwanetu.
 
Hahahah kwahio yupo kiuwekezaji zaidi 😁😁😁
 
Kula na wanao tu maana huku nje mishkaki choma na bia ilivyo mitamu. Haielezeki!!!
Sema wanaume tuna upendo sana na familia,utakula nyama huko ila kale kamwisho kanakobaki utamwambia mchoma nyama nifungie kwenye foil unaenda nako home.
 
Yah lazma upelekee ma home boy wako pale Ikulu 😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mtu azunguke awezavyo ila usiku ahakikishe anarudi kula nyumbani.
Bila hivyo hatutaelewana[emoji1787]
Uhakikishe umepika kwa wakati pia, sio mambo ya kurudi ndio tunaanza ulizana bebi tunakula niniπŸ˜‚ ntakuwa nikija nimeshiba
 
Ukifika umeshakula ,unanuniwa au unaambiwa umekula kwa michepuko ...
Hizi ndoa hizi Watu watutizame Tuu tukiwa huko mbele ya jamii Tunavyopendana...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…