Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Bora anayeuliza ili kama kuna nyongeza ya kitu ama mabadiliko kulingana na ratiba za siku atambue anaandaaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watoto wa baba mkwe mbona wana gubu hivi? 😀😀Yes vipo! Kwani Kuna ubaya baba nikikuuliza tutakula nn Kati ya hizo materials ulizonunua!? Labda leo haujisikii kula mchele unajiskia kula kiazi je!!! Mbona hampendekiii
Tambi peke yake au?Mimi nina ratiba ya misosi:-
1.J3 -Ugali
2.J4 -Tambi
3.J5 -Wali
4.ALH-Chips
5.IJM -Ndizi/Nyama
6.JMO-Ugali
7.J2- Pilau
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Utawakuta tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu andika vizuri tukuelewe.Mwaka 2004 nilikuwa kwenye list ya heshima ya walinzi wa mkapa RIP mke ngu alikuwa nkengasong niliitwa siku mbili kabla ku attach menu yangu kwenye ......Simba Mungu akubariki vs ....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Likikomaa kila swali Linatia Hasira
Leo ntasema ugali samaki, kesho wali na marage, kesho kutwa ndizi nyama aisee...it gets over and over until it sucks.
Nimeishi home mama hakuwahi kuwa ananiuliza hilo swali and i really enjoyed getting to the table eating what mama prepared for us. Sometimes exciting stuffs, sometimes boring ila ni life.
Inakera unaulizwa tunakula nini ina maana yeye ni mvivu wa kufikiria kiasi hicho? Mtu umechoka zako unakuja tena kuulizwa miswali ya ajabu ajabu. Jiongezeni banaa!!!
Sidhani kama linachoshaHilo swali huoni kero sababu hujui linachosha likiulizwa mfululizo
Kwa hilo shemela yuko sahihi"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Yeah unachokisema ni kweli, hakuna kbaya juu ya hilo mkuu, lkn kwa kuwa mama ni mlezi wa familia anategemewa ajue nn preferable foods kwa 'wanae' then from there it's all about her kuamua kipi kipikwe siku husika, hiyo huenda ikapunguza kero wanazozieleza kina baba hapa.Kwani chakula nakula peke angu. Kwanini nisiwashirikishe ninao kula nao. Ratiba ya mwezi mzima ambayo itakua inajirudia mwaka mzima kwanini watu wasiseme wanachopendelea kula unless ukiwaza chakula kwako wewe ni wali na ugali ila kama ni zaidi ya hapo utahitaji wanafamilia wengine wanaokula waseme pia.
Tambi peke yake au?
Au tambi na nyama za kusaga?Zinawekwa na karoti, pilipili hoho vinakatwa vidogo vidogo, viazi mviringo vya kukaanga vinakatwa kiaina na mambo mengineo wanayoyajua wenyewe halafu ngoma inachanganywa!+ chai ya viungo. Kabla mdomo haujapata ladha ya chai pua kwanza inanusa harufu nzuri.
Au tambi na kuku wa kuoka!
Na Vip wapendacho watoto?Sasa hilo swali lina kero gani?
Mwanamke anapenda kupika kile mumewe anataka kula kwa siku hiyo.
Ukishaniuliza tayari umenikata hamu ya kula, napenda nitakachokula kiwe sapulaizi kwangu, na kwa muda tuliokaa wote unajua na penda nini na sitaki nini, swali ambalo sipendi kuulizwa katika maisha yangu ni hilo la tupike nini leo?Kuwaza Cha kupika huwa ni kazi ngumu hata kukiwa na kila kitu, nakumuuliza mume nikujua anapenda nini kipikwe nisije kupika kitu asichokipenda. So kusaidiana mawazo kuhusu msosi ni Jambo zuri na linapunguza mzigo kwa mpigaji na njia rahisi ni kuwa na ratiba ya msosi
Kuwaza Cha kupika huwa ni kazi ngumu hata kukiwa na kila kitu, nakumuuliza mume nikujua anapenda nini kipikwe nisije kupika kitu asichokipenda. So kusaidiana mawazo kuhusu msosi ni Jambo zuri na linapunguza mzigo kwa mpigaji na njia rahisi ni kuwa na ratiba ya msosi
Kwahiyo hawa wasiopenda kuulizwa migawahani wanakula watakacholetewa Life is Easy tusicomplicate mambo madogo.Kuwaza Cha kupika huwa ni kazi ngumu hata kukiwa na kila kitu, nakumuuliza mume nikujua anapenda nini kipikwe nisije kupika kitu asichokipenda. So kusaidiana mawazo kuhusu msosi ni Jambo zuri na linapunguza mzigo kwa mpigaji na njia rahisi ni kuwa na ratiba ya msosi
She just want to know ur taste of food for a day; there is nothing wrong about.."Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
We pika hicho hicho mi ntakula, mama yangu alinifundisha kutokubagua chakula i used to eat hata ambavyo sivipendi kwa sababu hio hio. Kula kitu ambacho ni suprise its fun sababu ukishajibu hilo swali mara nyingi utaitwa ushiriki kumenya vitunguu huko jikoni 😂😂😂 kitu ambacho kinakera zaidi.And in most cases ukipika ulichopanga wewe wanaanzaga kulalamika utasikia ‘mi nlijua utapika wali nyama’ hapo umepika wali kuku [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]....
Mkuu kumbe tuko wengi ."Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.