binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
😀😀😀😀😀Mi nikiwaza chakula cha mchana we uwaze cha usiku. Maisha kusaidiana. Kwani kusema unachojisikia kula kuna shida gani. Mimi ningekaa na wewe ungekula chakula cha aina moja mpaka ujue kusema unachotaka kula