Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

Mpaka Sasa hv sijala BSE Alikuwa hajui apike Nini
****
Nipo Chumbani yupo sebuleni anacheza Bubble shooter..Baada ya kumwambia Sina njaa
Pole sana hao viumbe tuwe tuna wasamehe mambo mengine duh ndo walivyo.

Hapa wakwangu ndo ananiuliza eti Mume unakula sasa hivi? wakati anajua tukimaliza taarifa ya habari ya Azam ndo tunakula...ni meshindwa hata kumjibu loh
 
Hiyo ratiba iwe ya mwezi mzima ya wiki na yenyewe huwaga inachosha. Na kuandaa hiyo ratiba itabidi tukae kama familia tuiandae.
Hahahah kuna sista wangu aliandaa ya week iko kama pambo 😂😂😂 watu wanjipikia shaghalabagala tu
 
Hivi kale kamtindo ka kumsubiri mume arudi mle pamoja bado ipo?

Mimi my wife alishasamehe hilo. Ila mara moja moja natoka nae out ndio kula pamoja hiyo.
Ndiyo bado kapo jamani. Ila majority kwa vile mnapenda kukaa bar na kuning'iniza miguu juu kama paka: inabidi tu tule wenyewe na watoto maana hamkawii kurudi siku ya pili (after saa 6 usiku)
 
"Bebi Leo tunakula nini?"

Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.

Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Mbona ni swali la kawaida sana mkuu tena unapewa heshima kuulizwa unakula nini!!
 
We basi utakuwa una date na kivulana kinachoshindia kiepe yai [emoji23][emoji23][emoji23]!!!
Mwanaume rijali lazma apende Ugali na Pilau
Ugali na pilau sio????? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahah kuna sista wangu aliandaa ya week iko kama pambo [emoji23][emoji23][emoji23] watu wanjipikia shaghalabagala tu
[emoji23][emoji23]umeona mambo yalivyo magumu. Njia bora ni ya kuambiana leo unajisikia kula nini. Kuna rafiki angu yeye ana dada anamsaidia kazi lakini ni wa kuja na kuondoka. Ili apike inabidi dada akija akute kimemo. Sasa kazi ya kufikiria kila siku ale nini imemshinda nayo basi dada anakuja kufanya usafi tu na kuondoka akirudi ndio anawaza ale nini ndio ataamue apike au akale mitaani huko.

Mimi nimekulia kwenye familia kubwa kidogo halafu mabraza tupu. Kwahiyo kila mmoja alikua na siku yake ya kuulizwa leo unakula nini. Sasa mume wangu akiwa hapendi hili swali kama wewe ajiandae kunywa chai na maandazi [emoji23]
 
Mkuu inaonesha umepata perfect, ideal husband coz kila malalamiko ya wanaume humu umekua ukiyaponda na kudai 'hubby' wako hayupo hvoo [emoji1]
My baby ni matured hana maujinga ya wavulana wa humu aisee, Yani ni mwanaume mwenye akili na Yuko busy ulishawahi pata baby anayekushauri Hadi jinsi ya kuvaa weye
 
Pole sana hao viumbe tuwe tuna wasamehe mambo mengine duh ndo walivyo.

Hapa wakwangu ndo ananiuliza eti Mume unakula sasa hivi? wakati anajua tukimaliza taarifa ya habari ya Azam ndo tunakula...ni meshindwa hata kumjibu loh
Achana nae Tuu mkuu me nimeamua kukaa kimya .
 
what a good question.. mimi udhaifu wangu mkubwa kwa mwanamke ni msosi.. akijua kunipikia nachokitaka atapewa anachokipenda
 
Huyo anahitaji seminar elekezi 😂
Elekezi Mara ngapi buddy Anajua mbele ya wali Samaki sipindui na week hii nimekula Mara moja Kila kitu kipo ...dah ...
Nimekuuliza why hakupiga simu kimya...
Nkaona nikiendelea kuuliza Nitazua mengine(nitamuumiza)
So nimetulia Tuu .
 
"Bebi Leo tunakula nini?"

Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.

Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Alivyojibu Cariha ni sawa, yaani hata sisi kwetu inakuwaga ngumu. Mie dada wa kazi akiniulizaga hilo swali naweza hata kuchukua masaa mawili sijamjibu 😂. So nimeweka ratiba
Ila saaa ninapomuuliza shemeji yako lengo ni kujua anajisikia kula nini. Mimi baby wangu anapenda sana mambo ya misosi, so ukimuuliza sometimes anakwambia kabisa mimi nipikiw hivi. Cooking is my love language so i love it when he tells me what he wants for dinner or lunch
 
hapo napata mtihani sana mkuu😀😀😀
hapo nitajiuliza fasta ni mimi sijaelewa swaliiii au ni yeye hajajua vizuri alichotakiwa kuuliza
 
Hiyo ratiba iwe ya mwezi mzima ya wiki na yenyewe huwaga inachosha. Na kuandaa hiyo ratiba itabidi tukae kama familia tuiandae.
Mkuu mipango ya jikoni unataka familia ikae kikao ijadili, je mipango ya ada, kodi, bills nk una uhakika hutataka ukoo mzima ushiriki kweli? 🤗
 
Pole sana hao viumbe tuwe tuna wasamehe mambo mengine duh ndo walivyo.

Hapa wakwangu ndo ananiuliza eti Mume unakula sasa hivi? wakati anajua tukimaliza taarifa ya habari ya Azam ndo tunakula...ni meshindwa hata kumjibu loh
😂😂😂😂 aisee!
 
Back
Top Bottom