Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

Hata kama unafanya kazi, hivi unaanzaje kumuuliza mmeo kila siku swali hilo na unajua fika ashakwambia hapendi kuulizwa.

Kama hujui cha kupika mi ntakuwa nakula nakotoka huko mpaka utie akili. Na hichi ndio kitakachofuata maana inachosha sasa.
Mshaanza kukomoana, si muachane tu ndugu.
 
Kama kuwaza kunakupa shida si uweke ratiba sasa. We kuwaza kupika chapati na maharage kunakupa shida ukiambiwa uwaze ada na kodi vinapatikana vipi utaweza wewe?
Hiyo kutafuta ada na kodi sio jambo la kuwaza mbona ni la kuwekea mipango kwahiyo siwezi kushindwa. Kama hata nikikaa peke angu nalipa kodi na ada na matumizi mengine hajawahi nisumbua ila swala la kupika nini halijawahi acha nisumbua. Na sio kwamba sijui kupika [emoji23][emoji23] I can cook yani any swahili dish you name it. Ila ile kuwaza leo napika nini ndio mtihani mzito sana. Huwezi kuelewa mpaka ungekua uko kwenye hiyo position. Najua wakaka na wababa hawapendi kuulizwa hilo swali ila siku moja moja muwe mnatujibu
 
Siku moja moja sawa ila sio 3 times in a row we unaulizaga tu. Tunapika nini leo? Hilo swali muwaulizege mashoga zenu sio washua.
 
Mi nikiwaza chakula cha mchana we uwaze cha usiku. Maisha kusaidiana. Kwani kusema unachojisikia kula kuna shida gani. Mimi ningekaa na wewe ungekula chakula cha aina moja mpaka ujue kusema unachotaka kula
 
Mkuu inaonesha umepata perfect, ideal husband coz kila malalamiko ya wanaume humu umekua ukiyaponda na kudai 'hubby' wako hayupo hvoo 😄
😂😂😂😂😂😂😂 nmecheka kinoma yani 😂😂😂😂😂😂😂
 
Hiyo kutafuta ada na kodi sio jambo la kuwaza mbona ni la kuwekea mipango kwahiyo siwezi kushindwa. Kama hata nikikaa peke angu nalipa kodi na ada na matumizi mengine hajawahi nisumbua ila swala la kupika nini halijawahi acha nisumbua. Na sio kwamba sijui kupika [emoji23][emoji23] I can cook yani any swahili dish you name it. Ila ile kuwaza leo napika nini ndio mtihani mzito sana. Huwezi kuelewa mpaka ungekua uko kwenye hiyo position. Najua wakaka na wababa hawapendi kuulizwa hilo swali ila siku moja moja muwe mnatujibu
Hata kwenye kupika pia unaweza weka mipango pia mkuu, km 'my wife' wa mdau aliyeweka mipango ya wiki nzima
 
Humpendi, kuna kuchoka mtu akikulalia unaweza kumwambia plz jitegemee nimechoka mguu, kama akikulalia tu unakereka humpendi, tafuta unayempenda uishi nae na kama moyo wako hauna upendo hauwezi kupenda mtu ishi mwenyewe, very simple.
Sawa hayo yapo lakini some time inakua too much, sisi wanaumme kunawakati tunahitaji mda wa concentration, ili kutatua matatizo mengine ya kazi na familia......
 
Mimi nikipata mume gubu ka wewe nakupikia ugali maharage ka wa shule daily huku najipikia vyangu vinono wewe hulambi si hautaki kuulizwa
Ukipika ugali maharage sili 😂 bora hata wali maharage.Hivyo vinono unavipukia wapi sasa ambako mi sioni
 
Mpaka Sasa hv sijala BSE Alikuwa hajui apike Nini
****
Nipo Chumbani yupo sebuleni anacheza Bubble shooter..Baada ya kumwambia Sina njaa
Huyo anahitaji seminar elekezi 😂
 
Back
Top Bottom