Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
- Thread starter
- #101
Swali linaboa kichiziJuzi tu tumetoka kuzinguana kwajili ya hili swali
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali linaboa kichiziJuzi tu tumetoka kuzinguana kwajili ya hili swali
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Ooooh wacha weee......hata simba jike linazaa. Kwema lakini mkuuKuwaza Cha kupika huwa ni kazi ngumu hata kukiwa na kila kitu, nakumuuliza mume nikujua anapenda nini kipikwe nisije kupika kitu asichokipenda. So kusaidiana mawazo kuhusu msosi ni Jambo zuri na linapunguza mzigo kwa mpigaji na njia rahisi ni kuwa na ratiba ya msosi
Leo ntasema ugali samaki, kesho wali na marage, kesho kutwa ndizi nyama aisee...it gets over and over until it sucks.Hakuna kosa kubwa wanaume tunalofanya kama kujibu "Chochote beby"....your the leader she is testing your frame....Decide, make decision.
inaonekana una gubu sana aiseee,,, mbona ilo swali la kawaida sana na limekaa kimahaba"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Limekaa kimahaba ndio until you get asked 10 times in a row 😂😂😂 ndio utajua limekaa kimahaba au kero.inaonekana una gubu sana aiseee,,, mbona ilo swali la kawaida sana na limekaa kimahaba
Nadhani anatakiwa aseme, "Mume wangu unapenda siku ya leo nikuandalie chakula gani?!"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Ni kweli kabisa kipenzi....Kuwaza Cha kupika huwa ni kazi ngumu hata kukiwa na kila kitu, nakumuuliza mume nikujua anapenda nini kipikwe nisije kupika kitu asichokipenda. So kusaidiana mawazo kuhusu msosi ni Jambo zuri na linapunguza mzigo kwa mpigaji na njia rahisi ni kuwa na ratiba ya msosi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakumjibu kistaarabuHuu uzi umenikumbusha mbali sana, kuna siku moja Mke alimuuliza Mume leo nipike nini? Mume wake akamjibu pika Mapapai 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Hivi kale kamtindo ka kumsubiri mume arudi mle pamoja bado ipo?Kwa wanaume wengi wa Mbeya, pika ugali usiku kama una hamu ya kula mwenyewe.
"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Mimi nakereka kupita maelezo mkuu, yaani nakwazika na hili nilishaliongea lakini hakuna suluhu."Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Niangaike kutafuta pesa na kununua kila kitu then nije kuangaika tena kuwaza kipikwe nini [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Hio kila siku ndio limenifanya niweke bandiko. Hamna raha kama ukute mama kasharekebisha we ni kula tu. Ndio raha ya mke [emoji16]
Usigeneralize! Ni mtoa mada pekee na wachangiaji wachache! Mimi naamini katika kila swali niulizwalo basi kuna logic, mke wangu akiniuliza hili swali huwa nafurahia sana kwani huwa najua sio kama anashindwa kuchagua cha kupika lah! Bali anataka niwe na amani, hamu na pia nifurahie chakula nitakachokikuta kiasi kwamba nile vizuri/kizuri nikipendacho.Hamjui mnachokitaka nyie.