Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

"Bebi Leo tunakula nini?"

Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.

Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Anataka kura yako katika uchaguzi wa kipi kipikwe.

Ili asipike kidikteta na kukulisha vitu kwa "amri kutoka juu".

Tatizo umenunua vitu vingi tofauti.

Ungekuwa umenunua unga na dagaa tu, kungekuwa hakuna swali la nini cha kupika.
 
"Bebi Leo tunakula nini?"

Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.

Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Hahaha.. Hili swali zuri sana
 
Kuwaza Cha kupika huwa ni kazi ngumu hata kukiwa na kila kitu, nakumuuliza mume nikujua anapenda nini kipikwe nisije kupika kitu asichokipenda. So kusaidiana mawazo kuhusu msosi ni Jambo zuri na linapunguza mzigo kwa mpigaji na njia rahisi ni kuwa na ratiba ya msosi
Kweli kabisaaaa
 
Dawa yake huaa najipitiaga hotelin nafungiwa portion ya mtu moja msosi mzuri[emoji23]afu namwambia ujapika , ngoja na mm nile nilichotafutaa ananunaa hata unyumba siki hio sipewi[emoji23]atanyooka tu
😂Aisee! Kumbe watu mkizoeana ndo kunakuaga na vituko kiasi hicho!? Kwahyo mkuu unakula wife anakuangalia tu?
 
"Bebi Leo tunakula nini?"

Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.

Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.

Si kujua tu vibe yako ni ya chakula gani bac tu akupikie sio kwamba hajui nini apike kwan ukienda mgahawan si unaagiza chakula ulotaman cku hiyo sasa na wife lazma niulizie leo unapenda kula nini sio kupika tu ugali kama unataka pilau je
 
Mkuu...kuish na mtu ndan ni kaz kuliko watu wanavyofkiri....mi kuna siku dem wangu akinigusa namwambia..toa mkono unanikera..acha tu..kuish na mtu kitanda ki1..miaka nenda rud inataka moyo sana
😄 mkuu hapo ni baada ya kutibuana ama?
 
Kuwaza Cha kupika huwa ni kazi ngumu hata kukiwa na kila kitu, nakumuuliza mume nikujua anapenda nini kipikwe nisije kupika kitu asichokipenda. So kusaidiana mawazo kuhusu msosi ni Jambo zuri na linapunguza mzigo kwa mpigaji na njia rahisi ni kuwa na ratiba ya msosi
Yaani wanaume hawana jema wallah...
 
hili swali limewahi tugombanisha na wife bt after ugomvi ule nilimuuliza kwa nini anauliza vile daily? alijibu anafurahia sana kupika kile nachopenda hivo kuniuliza ni sehem ya upendo, ukweli tangu wakati huo silichukii swali hilo.
 
"Bebi Leo tunakula nini?"

Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.

Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Hahahaa, hili swali pia huwa linanikera na mimi.

Huwa namjibu kuwa "Wewe mke wangu ni wajibu wako kutambua mumeo anapenda chakula kipi na hapendi chakula kipi, suala la kuamua na kubadili chakula ni jukumu lako kulingana na bajeti iliyopo"
 
Mimi kero yangu nyingine pamoja na hiyo ya kuuliza chakula, ni kulala kwenye kochi na kunilalia kila napo ka karibu nae duh, hawezi kuangalia move au tv bila kulalia sofa, inakera arafu huwezi kumkemea atasema hooo! you ur not romantic, wanaumme hampendeki nk..........inekera sana plz wake zetu regulate your habits plz
Utakuwa na mapepo kuchukia chukia hovyo jirekebishe
 
"Bebi Leo tunakula nini?"

Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.

Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Juzi tu tumetoka kuzinguana kwajili ya hili swali

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Mimi kero yangu nyingine pamoja na hiyo ya kuuliza chakula, ni kulala kwenye kochi na kunilalia kila napo ka karibu nae duh, hawezi kuangalia move au tv bila kulalia sofa, inakera arafu huwezi kumkemea atasema hooo! you ur not romantic, wanaumme hampendeki nk..........inekera sana plz wake zetu regulate your habits plz
Kweli hauko romantic wewe lol
 
Kati ya kazi ambayo huwa hawatuandai kisaikolojia kwenye kitchen party hii.

Zoezi la kuamka kila asubuhi uwaze watu wa nyumbani kwako wale nini asubuhi, mchana na jioni si rahisi.
Zoezi la kupangilia mlo si rahisi hivyo.
Kama unakereka ujue na yeye anakereka hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom