Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

Mbona ni swali la kawaida sana mkuu tena unapewa heshima kuulizwa unakula nini!!
Sijakataa kwamba ni la heshima ila linakera kuulizwa kila siku 😌 especially wakati ambao hauna mood!
 
Mkuu mipango ya jikoni unataka familia ikae kikao ijadili, je mipango ya ada, kodi, bills nk una uhakika hutataka ukoo mzima ushiriki kweli? πŸ€—
Hahahahaha we jamaa una balaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kikao cha mipango wajumbe watakuwa babu na bibi pamoja na watoto wote wa ukoo.
 
Mkuu mipango ya jikoni unataka familia ikae kikao ijadili, je mipango ya ada, kodi, bills nk una uhakika hutataka ukoo mzima ushiriki kweli? [emoji847]
Kwani chakula nakula peke angu. Kwanini nisiwashirikishe ninao kula nao. Ratiba ya mwezi mzima ambayo itakua inajirudia mwaka mzima kwanini watu wasiseme wanachopendelea kula unless ukiwaza chakula kwako wewe ni wali na ugali ila kama ni zaidi ya hapo utahitaji wanafamilia wengine wanaokula waseme pia.
 
Alivyojibu Cariha ni sawa, yaani hata sisi kwetu inakuwaga ngumu. Mie dada wa kazi akiniulizaga hilo swali naweza hata kuchukua masaa mawili sijamjibu πŸ˜‚. So nimeweka ratiba
Ila saaa ninapomuuliza shemeji yako lengo ni kujua anajisikia kula nini. Mimi baby wangu anapenda sana mambo ya misosi, so ukimuuliza sometimes anakwambia kabisa mimi nipikiw hivi. Cooking is my love language so i love it when he tells me what he wants for dinner or lunch
Sasa mwanamke kama wewe ndio mnafaa, sio unauliza kila siku ila siku moja moja when you see the guy is in mood! Mwambie jamaa apunguze kitambi lakini sio dili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani chakula nakula peke angu. Kwanini nisiwashirikishe ninao kula nao. Ratiba ya mwezi mzima ambayo itakua inajirudia mwaka mzima kwanini watu wasiseme wanachopendelea kula unless ukiwaza chakula kwako wewe ni wali na ugali ila kama ni zaidi ya hapo utahitaji wanafamilia wengine wanaokula waseme pia.
Mtu kama wewe ntakutandika na kitabu cha mapishi tu ili kukukata ngebe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we si unajifanya chef. Pika vyakula kwa mfuatano kuanzia chapter 1 mpaka ya mwisho
 
"Bebi Leo tunakula nini?"

Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.

Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Yes vipo! Kwani Kuna ubaya baba nikikuuliza tutakula nn Kati ya hizo materials ulizonunua!? Labda leo haujisikii kula mchele unajiskia kula kiazi je!!! Mbona hampendekiii
 
Mkuu mipango ya jikoni unataka familia ikae kikao ijadili, je mipango ya ada, kodi, bills nk una uhakika hutataka ukoo mzima ushiriki kweli? [emoji847]
Na sijawahi kuelewa wanaume mwanamke akisema kitu flani huwa changamoto kwake huwa mnaingiza mambo ya ada na kodi. Kwangu mimi ada na kodi haijawahi kuwa swala la kuumiza kichwa. Kwahiyo katika mawazo yako ukiwa unareply kwangu toa maswala ya ada, kodi na bills nyingine. Kama nilivyosema mwanzo nazilipa na hazijawahi kuwa shida. Ila kuwaza nakula nini au nipike nini kwangu ni shida kubwa.
 
kweli aliyesema binadamu hatuna chema hakukosea kabisa. Sasa mkuu kuna ubaya gani kuulizwa hivyo aisee. Si unamjibu tu unachojisikia kula siku hiyo kaka. Tena kakuuliza kimahaba kabisa aisee.

Laiti ungejua kiasi cha raia kisichoulizwa hayo maswali na wanaombea kiasi gani waulizwe!
Kwa hiyo mwaka mzima (siku 365) utakuwa unamuuliza?
 
Mtu kama wewe ntakutandika na kitabu cha mapishi tu ili kukukata ngebe [emoji23][emoji23][emoji23] we si unajifanya chef. Pika vyakula kwa mfuatano kuanzia chapter 1 mpaka ya mwisho
Yani haina shida kabisa. Itakua imesaidia. Tukifika ukurasa wa mwisho tunarudi wa kwanza. Fanya kumnunulia na bibie hapo nyumbani aache kuuliza maswali
 
Huu uzi umenikumbusha mbali sana, kuna siku moja Mke alimuuliza Mume leo nipike nini? Mume wake akamjibu pika Mapapai πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Elekezi Mara ngapi buddy Anajua mbele ya wali Samaki sipindui na week hii nimekula Mara moja Kila kitu kipo ...dah ...
Nimekuuliza why hakupiga simu kimya...
Nkaona nikiendelea kuuliza Nitazua mengine(nitamuumiza)
So nimetulia Tuu .
Hahahahah kwahio umemuacha acheze gemu tu, haiwezekani ukawa hujala mishkaki mahali wewe,,, unazijua kenchi wewe???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
na huu ndio muda wanaulizaga bora akuulize mchana huko yeye anasubiri utokezee kabisa home ndio anauliza dah[emoji23]
Bora hata ingekuwa siku ya Jumapili ndiyo aulize ratiba ya kula kuanzia J3 mpaka J1 muitengeneze na kuibandika mlango wa friji au jikoni..
 
Hawa wenye gubu ni wa kuwalaza na wali maharage kila siku....ukibadili chai na maandazi huku ukizuga ale kitu chepesi usiku..πŸ˜‚
Kenge weee, yani friji lina nyama unilishe maharage deile. Ntakapouliza swali kuhusu vitoweo uwe na majibu yalionyooka kama ruler.
Hivi vitabia vya kukomoa waume kwa ujinga wenu ndio vinavyoongoza kuzalisha michepuko.
 
Hahahah yan tumeshakuwa wachumba sugu tukaamua kuhalalisha ndoa halafu uwe hujui nachopenda kula. Amna mwanaume asiependa nyama na ugali bana ila tu naachoona wanawake ambao hawana interest na ubunifu jikoni ndio watu wa kuuliza uliza hili swali.
Kuna siku kaniuliza, tena jioni tule nini? Nikasema chapati na samaki, akajibu aaah nani akande unga saa hizi?
 
My baby ni matured hana maujinga ya wavulana wa humu aisee, Yani ni mwanaume mwenye akili na Yuko busy ulishawahi pata baby anayekushauri Hadi jinsi ya kuvaa weye
Mi ndio Ally Rhemtula wake before hajatoka lazma nimwambie hapo umeninoki πŸ˜‹πŸ˜» so hatoki bila approval kwamba kapendeza!

Usijione mwenye bahati sana hata wife wangu nae kabahatika pia.
 
Kuna siku kaniuliza, tena jioni tule nini? Nikasema chapati na samaki, akajibu aaah nani akande unga saa hizi?
Hahahah sasa alikuwa anakupima imani au πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yan madem bwana
 
Hiyo kutafuta ada na kodi sio jambo la kuwaza mbona ni la kuwekea mipango kwahiyo siwezi kushindwa. Kama hata nikikaa peke angu nalipa kodi na ada na matumizi mengine hajawahi nisumbua ila swala la kupika nini halijawahi acha nisumbua. Na sio kwamba sijui kupika [emoji23][emoji23] I can cook yani any swahili dish you name it. Ila ile kuwaza leo napika nini ndio mtihani mzito sana. Huwezi kuelewa mpaka ungekua uko kwenye hiyo position. Najua wakaka na wababa hawapendi kuulizwa hilo swali ila siku moja moja muwe mnatujibu
Weka na mipango ya kupika basi ili usiulize kila siku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mchawi time table tu
 
Back
Top Bottom